Baraka za shetani zinaumbua sana

Baraka za shetani zinaumbua sana

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
Huyu shost ameolewa ni mwaka wa tano huu hakuna dalili ya mtoto. Mama mkwe amechoka kusubiri anamsubiri kwa hamu mjukuu kutoka kwa mwanae wa pekee. Mama ameamua kuja kukaa pale asaidie kama kuna tatizo. Pressure imekuwa kubwa kiasi mume ameamua waende hospitali wakafanyiwe uchunguzi wa kina lijulikane tatizo liko wapi?

Siku isiyo na jina shost ametoka kazini na surprise kwa mume wake. Baada ya kuanza morning sickness aliamua kufanya pregnancy test na imetoka +ve. Mume machozi ya furaha yalimtoka. Asubuhi anapata simu kutoka kwa daktari, vile vipimo majibu amerudi.

Amekwenda hospitali na mke wake. Wamefika kule daktari anamweleza kuwa ana low sperm count hawezi kumpa mimba mwanamke. Anabishana na daktari kuwa mke wake ana mimba. Bibie ameanza kuangalia ceiling board.

Kufika nyumbani na kuulizwa vizuri, bibie ilibidi aeleze ukweli ni kuwa pressure ya mama mkwe ilipozidi, alikitoa kwa boss na ngoma imejubu.

Dada hakusubiri baraka za Mungu aliamua kuchukua njia ya mkato, sasa baraka za shetani zinamuumbua.
 
Hapo shetani atakuwa mama mkwe inakuwaje aingilie ndoa ya mwanawe? Na kushindikiza mjukuu hivi huyu mama mkwe hajuwi kama kuna mungu ndie atowae. Wazee wanasababisha ndoa za watoto wao kuwa na mikosi baada ya kuwa na baraka.
 
Kuna ukweli hapa
 
Huyu shost ameolewa ni mwaka wa tano huu hakuna dalili ya mtoto. Mama mkwe amechoka kusubiri anamsubiri kwa hamu mjukuu kutoka kwa mwanae wa pekee. Mama ameamua kuja kukaa pale asaidie kama kuna tatizo. Pressure imekuwa kubwa kiasi mume ameamua waende hospitali wakafanyiwe uchunguzi wa kina lijulikane tatizo liko wapi?

Siku isiyo na jina shost ametoka kazini na surprise kwa mume wake. Baada ya kuanza morning sickness aliamua kufanya pregnancy test na imetoka +ve. Mume machozi ya furaha yalimtoka. Asubuhi anapata simu kutoka kwa daktari, vile vipimo majibu amerudi.

Amekwenda hospitali na mke wake. Wamefika kule daktari anamweleza kuwa ana low sperm count hawezi kumpa mimba mwanamke. Anabishana na daktari kuwa mke wake ana mimba. Bibie ameanza kuangalia ceiling board.

Kufika nyumbani na kuulizwa vizuri, bibie ilibidi aeleze ukweli ni kuwa pressure ya mama mkwe ilipozidi, alikitoa kwa boss na ngoma imejubu.

Dada hakusubiri baraka za Mungu aliamua kuchukua njia ya mkato, sasa baraka za shetani zinamuumbua.

Kama ni ya kweli haya inauma sana.... nina rafiki yangu alikuwa na hilo tatizo, alingoja mtoto kwa miaka 6 bila kitu, nikamlazimisha akapime, akakataaa kabisa, kwamba mwanauem aendi, nikamwambia twende tupime wote, tukaenda, mpaka sasa ana watoto 4.
 
Can you get deep zaidi.? So kuna dawa ya hiyo kitu
 
Changamoto za ndoa tu hizi, wakitulia wataishi vizuri tu
 
Back
Top Bottom