Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nilikuwa nawadharau sana wanawake niliwaona kama viumbe dhaifu wasio na akili na hii ilitokana na mazingira niliyokulia ambapo mwanamke anadharaulika na kubezwa. Wiki iliyopita nilimpeleka mke wa...
4 Reactions
56 Replies
6K Views
Jana niliweka bandiko la upweke thumuni ikiwa ni uhitaji wa faraja,. Kwakweli Jana nilienjoy nilifarijiwa sana yaani wababa wa makamo wana maneno mazuri jamani sijapata onaa!! Yanii...
4 Reactions
140 Replies
9K Views
Mods heading isomeke kama Riyama badala ya Rita Wakuu heshima kweny, Kama ilivyo kwa wengine ugonjwa wao ni chura,wengine ugonjwa wao ni pisto wengine viuno feni Mimi ugonjwa wangu ni watoto wa...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Leila anawawakilisha kilio cha wengi? Tatizo lipo wapi? Miaka mitatu mbele natimiza miaka 30 nikijaaliwa,na kama mpaka hapo sijapata mume wa kunioa nahama hii Nchi naenda kuomba uraia hata...
13 Reactions
318 Replies
24K Views
Toka mwaka 2008 mpaka leo ninaendelea na huu mchezo wa pull kila nikitaka kuacha ninashindwa yaani ninarudia,iko hivi siwezi kulala bila pull nikiamka ninapiga pull yaani hata shemeji yenu...
2 Reactions
139 Replies
16K Views
Wakuu. Utafiti kidogo niliofanya nimegundua kuwa, mwanamke akishaolewa msaada wake kwenye familia alikozaliwa unapungua ama unakwisha kabisaaa hata kama atakuwa ana uwezo. Hali hiyo ni tofauti...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
nakumbuka ilikuwa likizo nipo kidato cha tatu mwezi wa 12 nimeenda kwa sister mkoani akiwa anafanya kazi huko. sister yeye alikuwa amefanikiwa kuw ana watoto wawili ameolewa na anafanya kazi mkoa...
13 Reactions
99 Replies
23K Views
Habari, (1) Usione Kumtii Mume wako kua Nikero Bali ni Dini na ndio Pepo yako. (2) Usjaribu Kujitokea Nje bila yakuomba Ruhusa kwa Mume wako. (3) Usitowe chochote Ndani ya Nyumba ima Kumpa Mtu...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana jukwaa, Niliwahi kuleta mkasa fulani kuhusu mke wa mtu kudate na mimi kwa bahati mbaya, ni baada ya kunidanganya yuko (single). Leo nawapa mkasa mwingine, ila mwanamke wa awamu hii...
13 Reactions
188 Replies
10K Views
kuna haka katabia ka wanawake kunyimana mechi hasa usiku kwa visingizio kibao! kabla ya mechi anaanza kulalamika mambo kibao mara hujanifanyia hiki, hujaninunulia hiki, mara mbona wewe kila siku...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Hapa ninaongelea sura design ya marehemu dr Remmy Ongala, Hawa ni wakarimu, wanajua kupenda, hajali kuosha vyombo mkimaliza kula. Anapenda upendeze na barabani atakushika mkono mkitembea. Kwa...
38 Reactions
175 Replies
16K Views
Hoya wadau ndo mida yenyewe hii ya utulivu....kimya kimya tu kama ni mdada unaamka unakamata mike unaanza ku chana mistari.jamaa ataamka tu. Then unaweza amua kuikalia mashine juu .... Halaf...
9 Reactions
35 Replies
4K Views
Habari zenu wana JF? Kwa sasa mimi naweza sema nina ufahamu mpana sana juu ya ishu ya mahusiano kwani nilikaa katika uchumba kwa miaka kadhaa na tangu nioe sasa ni karibu miaka miwili lakini kwa...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Women dont have less casual sex because we're "biologically wired"...
5 Reactions
105 Replies
8K Views
Je una Mwanaume kwa sasa? Je una Mpenzi kwa sasa? Je una Mwanaume kwa sasa? Je una Mpenzi kwa sasa? Je una Mwanaume kwa sasa? Je una Mpenzi kwa sasa? Je una Mwanaume kwa sasa? Bila...
7 Reactions
106 Replies
7K Views
Nime ' google ' hadi nimechoka Binadamu aliyevumbua au aliyegundua aina ya Ufanyaji ngono / mapenzi ya ' Mende Kafa ' kwani nilikuwa nina maswali mengi sana ya kumuuliza au kutaka tu kusoma '...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Kwanza nimshukuru Mungu kwa kuniamsha salama pamoja na member wote wa JF mana bila nyinyi hamna raha yoyote humu ndani. Jana wakati nimemaliza mishemishe zangu jioni nikasema ngoja nipitie...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Nilikuwa natokea Mwenge kuelekea Posta kwa daladala. Garini nilikaa na bonge la sista duu lenye mapozi ya kumwaga, nilipo msalimia anabetua midomo kwa dharau na hakujibu salamu yengu. Njia nzima...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Muhali gani wadau? Mimi ni kijana mwenye miaka 28, nilikuwa na mke nikamuacha, nikaanzisha mahusiano na mdada fulani hivi. Kiukweli nilikuwa simpendi lakini kadiri siku zilipokuwa zinaenda...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Nimeamua kuwa mkristo natafuta kanisa lakiroho nianzekwenda maeneo ya mabibo hosteli. Sio kanisa la mazingaumbwe noo kanisa la kuijenga roho yangu na uhusiano mzuri na Mungu mwenyezi
19 Reactions
126 Replies
19K Views
Back
Top Bottom