Wanawake wengi ni malimbukeni wa mafanikio

Wanawake wengi ni malimbukeni wa mafanikio

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,933
Reaction score
11,865
Unakutana na mwanamke kachoka mbaya hata hela ya lotion hana anajipaka mafuta mgando yale ya mia mbili yaani kachoka haswa watoto wa mjini wanasema "yupo juu ya mawe " pasipo kujali unaamua kuoa na kumtafutia kazi au unamfungulia mradi wowote akiisha anza kuzishika anasahau shida, nyodo nyingi muda wote yupo busy, nyumbani anakuwa wa mwisho kurudi ukimuuliza mara tulikuwa kwenye kikao mara kitchen party ukijaribu kuongea utasikia tuachane hunitishi kwa lolote nina kazi yangu, masikini ya Mungu anasahau ulimkuta amepauka mtaani ukamuweka mjini.
Mara nyingi wanawake wa aina hii ndo wachepukaji haswa ukimuuliza alikuwa wapi anakwambia nilikuwa nazungukia miradi yangu mara kudai madeni yangu kumbe anatoka kuchepuka.
Asilimia kubwa ya ndoa zenye migogoro ni zile ambazo wanawake wana vipato wengi wao ni wabishi na wakorofi haswa na tena ni wachepukaji haswa tena hawaogopi kuvunja ndoa mwanaume akiongea kidogo anaambiwa tuachane.
Wanawake kumbukeni mlipotoka.
 
mkuu wanawake wamekufanya nini, nashukuru sijawahi kutana na hayo mabalaa
 
Pole sana!, kampata mwenzako mwenye uchumi mzuri zaidi yako. Tabia zao mbaya wengi wao miaka hii wanachezewa na kuachwa, akiolewa tambua kaonewa huruma au kajitolea mahali mwenyewe!!!!!!!!!. pole sana rafiki!
 
Mkuu sio mimi siwezi kukubali mwanamke aniletee dharau kamwe.
 
Anaweza asiwe mchepukaji ila ka income kanasoma vi m-kadhaa na vi bonas au tudeal mbuzi basi anajiona mjanja... suluhu ya kila ka hitilafu ooh tuachane Pumbaf.. ukikaza haya tuachane sasa week kubwa kishaanza kusinyaa
 
kati ya ulichosema kipi wanaume hatufanyi ?
Sijajua kwa wanaume naona kwa wanawake tu halafu ujue ukiona mwanaume anazuzuliwa na mafanikio basi ujue huyo ni mjinga na mpumbavu
 
Sijajua kwa wanaume naona kwa wanawake tu halafu ujue ukiona mwanaume anazuzuliwa na mafanikio basi ujue huyo ni mjinga na mpumbavu
ndio nini mbona mjinga hivi
kama hujajua kwa wanaume maana yake unakaa sana na wanawake ndio maana una tabia za kike kike
 
ndio nini mbona mjinga hivi
kama hujajua kwa wanaume maana yake unakaa sana na wanawake ndio maana una tabia za kike kike
Andika kuhusu wanaume kama unajua kenge wewe.
 
Wanaume kwa kujifanya miungu watu hamjqmbo, ukweli kuhusu ninyi twaujua sie, punguzeni midomo, halafu sijui siku hizi mmekuwa wanaume wa aina gani kutwa kucha kulia lia, mixuuuu
 
Ukimpata mwanamke,konga nyoyo sepa,usiwekeze,hawana jema hao.
 
Back
Top Bottom