mpiga domo
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 852
- 1,502
Habari za Jioni Wakuu,
Naona kumekua na wimbi la wanawake wadangaji kwenye mtandao pendwa wa professionals kwa jina la Linkedin.
Hawa wadangaji walianzia Badoo, wakaenda facebook ikachuja, wakaja JF, wakaenda insta sasa soko limekua gumu wameamua kufuata watu katika maeneo yao ya kazi.
Huko LinkedIn wanaweka profile za kizushi katika Bio yao kama wamesoma chuo flani na wana kazi fulani ili usishtuke. Baadaye katika kufahamu kwa undani kuhusu work experience na vitu kama hvyo ndo utajua kwamba ni mdangaji.
Mbona Maisha yamekua hivi, ni nini jaman kina dada, mmekua desperate na njaa kufikia kiasi hiki?
Hapana Kwakweli Inatosha Ishien Instagram na huku kwingineko kule mnajiaibisha.
Wanaume kuweni makini mkuwapo LinkedIn msije mkajiharibia CV zenu hapo baadaye kwani kule ni mtandao wa ku'network na fellow professionals including your employer.
Ni hayo tu. Nawatakia ulainishaji mwema wa Vyuma.