Umri mzuri wa kuoa

Umri mzuri wa kuoa

ktroshaban

Member
Joined
Nov 6, 2015
Posts
42
Reaction score
95
Umri wa kuoa ni miaka mingap….... Maana mi hapa nyumban kila siku nakumbushwa
Alaf sijui kutongoza yule ninayemtaka namwacha apite coz nahisi nikimwita kumtongoza…… atanishushua na kunikataa
NINA MIAKA 31
MSAAADA PLZ
Hyo picha
Nikama hao ndo nawataka kuoa
IMG-20180305-WA0008.jpg
 
Kuogopa kushushuliwa ni kutokujiamini tu, wewe mtt wa kiume jikubali bn. Na kama hutoweza kuwa na ujasiri juu ya hilo waombe hao wanaokushauri kuoa wakutafutie mke maana kuna watu wanatafutiwaga wake na mama zao

Kuhusu umri sahihi wa kuoa ni wewe tu utapojisikia unataka kuoa ilimradi ni mtu mzima...
 
Kama una uwezo wa kumhudumia mke na watoto na umeshavuka miaka 20 unaweza kuoa
Make kumhudumia ni Pam OJ’s makes kusikiliza matatizo Yale marriage kuyatatua, ya kugombana na masjirani, ya kupika chakula kibichi tote hayo unusualness kutunza siri
 
Kama una uwezo wa kumhudumia mke na watoto na umeshavuka miaka 20 unaweza kuoa
Make kumhudumia ni Pam OJ’s makes kusikiliza matatizo Yale marriage kuyatatua, ya kugombana na masjirani, ya kupika chakula kibichi tote hayo unusualness kutunza siri
Wife usinambie ushaonja ule mvinyo niliouleta jana...
 
Mtu wa miaka 31 anaulizia muda wa kuoa? Wenzako wa umri wako wameshaanza kusomesha nursery school we ndo unaulizia umri wa kuoa, unataka uje uzae wajukuu??
asubili siku ajue kutongoza
 
Miaka 31 upo nyumbani. Wakichoka kukumbusha kuoa watakutimua ili wanataka ujitegemee.
 
kuna haja ya ndalichako kuweka mtaala sawa liwekwe somo la kutongoza watu wafanye mazoezi kwa wanafunzi wa kike.
 
vituko haviishi dunia hii.............umetuwekea na picha kabisaa tehe tehe

kama huwezi kutongoza kikweli,ngoja nikupe mstari '' dada nimekupenda,ningependa kuwa na wewe maishani''..... simple,lol
 
Kuna wenzio umri ulionao wewe wana watoto wawili na mimba juu..sasa wewe nawe dah..endelea kuogopa kutongoza
 
Back
Top Bottom