Wanawake kwanini mnatuwazia mabaya tu

Wanawake kwanini mnatuwazia mabaya tu

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,933
Reaction score
11,865
Wanawake kwanini mnatuwazia mabaya yaani nyie muda wote mnawaza sisi tunachepuka tu, Ukichelewa kurudi nyumba shida uko kwa wanawake, ukipigiwa simu usipokee may be ulikuwa mbali nayo ulikuwa na mwanamke ndio maana hukupokea simu yangu, ina maana sisi wanaume muda wote tunachepuka?
 
Tatizo ni hayo macho yenu yana search ka google. Mwanamke akipita lazima mumkodolee macho nyuma na mbele. Ndio maana mnahisiwa kila wakati.
 
Tatizo ni hayo macho yenu yana search ka google. Mwanamke akipita lazima mumkodolee macho nyuma na mbele. Ndio maana mnahisiwa kila wakati.

sasa mkuu si mnadau kuwa ninyi ni fahari ya macho...?
 
Hamjatulia ndo maana

katika kitu ambacho nadhani wanawake kina waumiza
sana nafsi na mioyo yao ni kitendo cha kuwa nae
halafu ukakata shingo (ukapiga chabo mzigo wa jirani/mpita njia ulivyoumbika).
 
Muda wote ni wachepukaji ndio maana ,na muda wote mnawaza papuchi za nje
 
Mawazo yenu tu.

No hiyo situation inanikuta sana ni kutokana na mtu kumkamata na michepuko ,then hata akitoka utajua tu kaenda huko,hii kitu inanisumbua sana i wish unabaki bachr for ua whole life,michepuko jamani inapunguza amani,upendo,hisia ya mapenzi ndani inakuwa hakuna kabisa ,that is real
 
Mke wa MTU, lakini akiombwa no ya simu na lijamaa anampa, tena ya ukweli; huyu mwanamke anamtakia mema mumewe!?
 
Bhabha bhoke hayi maambo hayaji hivi hivi mura kuna jhambo hapo tata mura rabda arikubhamba mara moja na imekaa akilini mwake hakuna kitu kinauma kwenye mahusiano kama kuchepukwa na ukagundua Mungu atusaidie both wanaume na wanawake Molembe
 
Last edited by a moderator:
Sio wanawake wote. Mimi huwa simuuliz mme wangu kwa kuwa namuamini. Kama mkeo anakuuliza uliza inamaanisha hakuamini...jiulize tabia yako ipoje???
 
  • Thanks
Reactions: Art
hizo ndio sifa za mwanamume rijali...hata mke anajivunia kuwa na Dume la namna hiyo hapo nyumbani
 
Back
Top Bottom