Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Bwana mdogo namfaham kitambo sana huwa tunamwita "mti mkavu" maana mti mkavu hauchimbwi dawa. Huyu mshkaj harakati zake asilimia 80 ni kufukuzia mademu. Akikosa mademu basi kipindi hicho chote...
15 Reactions
39 Replies
7K Views
Hello wana JF, Ningependa kujua kati ya wanaume na wanawake, nani wanaongoza kudukua mawasiliano ya wapenzi wao? Kwa nini?
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Mzungu kama kawaida yake ameshakuna kichwa na kikatoa majibu. Wanasayansi wa nchi za wenzetu wamekuja na kidonge cha kupanga uzazi kwa ajili ya wanaume, Dawa hiyo inayojulikana kwa jina la...
6 Reactions
43 Replies
4K Views
jamanii hii tabia ipo siku ntatembea na maji ya pilipili niwamwagie machoni,, chagueni na nyie muweke ndani!
2 Reactions
67 Replies
4K Views
Lazima atakua mpole na asiyependa vurugu, kama una sifa hiyo basi wewe ni Handsome, jamani nawatakia ucku mwema mi ndo natoka job now.
16 Reactions
117 Replies
18K Views
Ndugu habari zenu, Jamaa yangu wa karibu amepatwa na mkasa huu; nyumbani kwake anaishi yeye, mke, watoto na ndugu wa mke wake jinsia ya kike. Siku moja alienda safari, kabla ya kurudi alitaka...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Ebwana eeeh!!!nilipanda flait moja ivi ya sauz,Daahh! jamani mle ndani wa hudumu wa ile ndege wamepitiliza kwa uzuri.nilimpenda mdada mmoja ambae ni mhudum sasa ikabidi nijiresi nikajifanya pumu...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Hivi wasichana inakuwaje mfano boyfriend wako hapo nyuma ulimuwacha tena kwa kilio ukisema sitaki kila akilazimisha unasema utaki naye akasema poa baaada ya mwaka mmoja Huyo huyo boyfriend wako...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna binti ni rafiki yangu wa muda mfupi tulikutana kwenye mihangaiko ya kila siku. Sasa amekuwa akinitafuta mida ya usiku ananiuliza naenda lini kumtembelea kwake na nilifanya uchunguzi wangu wa...
2 Reactions
97 Replies
8K Views
NI VEMA UKAYAJUA HAYA KABLA YA KUINGIA KWENYE NDOA: 1. Sherehe ya Harusi ni ya siku moja tu, na Ndoa ni ya maisha yote. 2. Mwanamume/Mwanamke aliyezoea kuchepuka kabla ya Ndoa, ataendelea...
10 Reactions
27 Replies
6K Views
Habarin za kutwa wakubwa na wadogo zangu. Tukiwa tunaelekea kwenye mapumziko mafup ya sikukuu ya pasaka, napenda kuwashilikisha neno fupi tu kama ifuatavyo. Watu wengi sana wanahangaika...
7 Reactions
45 Replies
4K Views
Habari zenu Leo nimependa kuwashirikisha ushuhuda mwingine wa maisha yangu ile watu wajifunze na kuacha kutapeliwa na kujikuta wakitumia madwa kumbe hawana maradhi yoyote miilini mwao Story...
6 Reactions
18 Replies
4K Views
Malkia wa chumbani nimerudi tena, Jaman naombaa kuuliza kuna umuhimu gani wa kuvaaa condom baada ya kunyonyana sehemu zote za mwili kwa kutumiaaa midomo alafu baada ya hapo ndo uvae kingaa??? Ni...
3 Reactions
106 Replies
8K Views
Nawauliza wadada huwa mnakuwa na ujasiri gani kwa sababu nyie wenzetu mmeumbwa na Aibu! Ila katika hili sijui mnakuwaje Aisee....Karibuni nimeandaa beseni nataka kufua leo.
1 Reactions
74 Replies
11K Views
NAWAKUMBUSHA tuu Mwaka wa kuzaliwa - Na Umri wenu kwa sasa na mda wako wa kustafu kwa lazima kama wewe ni mtumishi wa UMMA. . Age. Retirement 1958. 60------- 2018 1959...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Wadada tuzungumze kikubwa, Hivi inakuwaje unatoka kwenu au kwako kwa miadi ya kwenda Kusex alafu ukishafika kwa bwana unaanza kujishaua shauaa wakati siku kablaa ya tukio mlikuwa mnachat namna...
16 Reactions
113 Replies
7K Views
Habarini wapendwa, juzi nilileta uzi hapa nikisumbuliwa na upweke kwakweli nilipata ushauri na wengine wakiomba urafiki waniliwaze na wengine wakihitaji mahusiano Lengo la Uzi huu ni mapenzi mpya...
2 Reactions
132 Replies
9K Views
Kama title inavyojieleza Nimekua nikijiuliza why miaka/siku za hivi karibuni kuna wimbi kubwa la vijana wa kike na kiume kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja(Ushoga na Usagaji) Nimefanya...
0 Reactions
92 Replies
16K Views
Habari wana JF, Katika siku za karibuni nimejikuta napenda kuangalia wanawake wenye makalio. Kuna siku nikiwa kwenye usafiri wangu nikanogewa kuangalia makalio nikajikuta nadumbukia mtaroni pwaa...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Natoa tu Ombi kwamba naomba sana ' Warembo ' wa Kitanzania wakiongozwa hasa na akina Wema Sepetu, Masogange, Kajala, Gigi Money na wengineo wengi tu waache kupoteza muda katika ' Instagram '...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom