Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

DNA RESULTS HAVE PROVED THAT 4 OF MY 6 CHILDREN ARE NOT MINE Editor, post this 4 me, I want my fellow Zambians to read. I am a Zambian working in Malawi as an expatriate. Good Evening Family...
4 Reactions
79 Replies
10K Views
A beautiful woman is who has a good career, smart and well educated, is rich and has never been in a relationship and is virgin would trigger men's alarm that something is dodgy about her.
4 Reactions
106 Replies
7K Views
Habari wakuu.. Kama kawaida yangu sitaacha kuweka yanayonitokea katika maisha yangu ya kila siku. Nilikua natoka zangu safari yangu ya mbali ghafla nilimdondokea msichana ambae nilikua nikifanya...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Hapo vip!! Kwa muda mrefu nimekuwa nikiifanyia uchunguzu tuhuma moja lakini matokea Ya research yangu imenionyesha uwongo mkubwa sana katika tuhuma number moja kama inavyoonyeshwa katika...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Jana mke wangu aliogelea ndoo za matusi ya kila aina lakini yote ni kwa ajili ya pombe, kiukweli jana nilikunywa balimi nane na konyagi moja ambazo zilinifanya nipoteze network mapema sana...
3 Reactions
62 Replies
6K Views
Habari za asubuhi wadau, Natumai mpo salama na mnaendelea na majukumu ya kujenga taifa na mahusianoNirudi kwenye mada hapa nipo kwenye usafiri ila imezuka mada hii wamama wawili wanavutana mmoja...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari wana bodi, Yaani hapa nilipo sina raha nina wiki sasa toka niwashuhudie hili jambo, sina raha wazazi hatuangaliani usoni baada ya kuwafuma sebuleni wakifanya yao yani nimeumia sana...
8 Reactions
147 Replies
16K Views
Mke wangu mpenzi naamini kabisa hapa jukwaani lazima upite ndio maana nimejaribu kuandika kidogo ili uelewe ukweli wa moyo wangu mke wangu. Mke wangu nimekuwa mwaminifu kwako tangu nilipokuona...
3 Reactions
50 Replies
14K Views
Ndugu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza vipi kuna tofauti kati ya ndoa ya mwanamke aliyeachika kabla na kuolewa mara ya pili na yule aliyeingia kwenye ndoa kwa mara ya kwanza? Wewe unasemaje...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari, ni thread yangu ya kwanza humu. naomba majibu bila kutoka nje ya mada tafadhali. Unaeza kuta mwanaume ana jitosheleza karibia kila mahitaji muhimu ana nyumba, ana kazi na anae mpenzi...
5 Reactions
141 Replies
14K Views
Hii ni safari ambayo tulipitia, tunapitia au tutapitia. Dating ni hatua yamuhimu kwenye mahusiano ambayo huzaa ndoa na watoto Mlikutana sokoni, kanisani, kwenye party, safarini, msibani nk...
29 Reactions
327 Replies
18K Views
Salaam wakuu Mida hii ya lunch wacha niwape kastory kidogo. Tarehe 05.02.2018 kwa mara ya kwanza nikala papuchi ya mrembo safi kabisa niliyekuwa nafukuzia kwa kipindi fulani ila katika...
7 Reactions
60 Replies
5K Views
Kwa wanaume umeshawahi kumfukuzia dem miezi kumi na nane au hata miaka zaidi ya miwili huku sometimes ukiwa unafungiwa vioo, kubadilishiwa njia, kutolewa maneno machafu na hata kupata misonyo ya...
14 Reactions
72 Replies
6K Views
Eti wakaka kumsave kwenye simu mpenzi wako kwa majina ya kimahaba ni ushamba na unaonekana bwege? .
1 Reactions
69 Replies
15K Views
Katika kipindi cha miezi saba nime date na WAREMBO sita tofauti, but nilicho experience kutoka kwao ni VITU vya HOVYO kabisa! Watoto wazuri wameumbika sana, kiasi kwamba hakuna atakae katiza...
2 Reactions
167 Replies
10K Views
Mie nakumbuka ilikuwa mwaka Jana siku ya siku kuu, ASA nyumbani walienda kanisani nikabaki pekeangu Wakati nimetulia sms ikaingia best angu akiniuliza niko wap. Nikamwambia nikonyumbani akauliza...
7 Reactions
242 Replies
20K Views
Kuna hii biashara mpya ya vijana wapaka rangi kuongeza huduma. Zamani ilikuwa ni kupaka kucha rangi tu. Sasa hivi wanapakata miguu ya wanawake zetu eti wanaiosha kwanza. Safari moja huanzisha...
0 Reactions
119 Replies
13K Views
Kwa tunaosafiligi kwenda Pemba mtakuwa mashahidi wa hili, ukifikia hotelini huna sababu ya kufunga mlango, wengine huwa wanaacha laptop kwenye kodido tu na hakuna wa kuiba.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habarini wakuu haya ndio mambo mengi nime experience kwa hawa dada zetu ukiwa Rafiki yao kuna mambo lazima ukubaliane nao 1.kuomba vocha 2. Kuomba viehela vidogo vidogo 3. Kuagiza vitu kama...
5 Reactions
53 Replies
5K Views
Sina maelezo mengi. Ni hivi ukiona mke aliyeolewa au waliyeachana na mumewe anakutaka kimapenzi ujue anachokitaka ndani kabisa moyoni mwake akuhamishie stress zake. Ukiona msichana anakutafuta...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom