Tukielekea kwenye maadhimisho ya siku ya mama Duniani tujaribu kurudi nyuma na kujikumbusha juu ya matukio au mambo muhimu ambayo mama zetu wametundea na kuleta Matokeo chanya kwenye maisha yetu...
Habari humu...
Nina machache ya kujadili na ninyi mlio ndani ya ndoa yenye kuchanganya kidogo na yanahitaj mwenye uelewa mzuri kunielewa point yang na kunijibu vema kwa namna yeye anaona kwa...
Ndugu zangu
Leo
Nimeamua kuwasifia wanawake katika Mambo haya. Naomba mzipokee kwa mikono miwili.
A. Kitendo cha kupendwa/kutamaniwa na kidume usichokijua hata kidogo, nawe hatimae ukaja...
Ni kama mwaka mmoja na nusu sasa umeshapita huyu demu Nilikuwa na mahusiano nae na hata papuchi nilishakula ila tatizo ni kwamba enzi zile nilitaka nivute jiko niweke ndani kwa sababu ya kuvutiwa...
Ety wadau...
Ni wakati upi ni sahihi wa kumtongoza/kumtamkia bayana demu uliyefahamiananae kupitia mtandao...
Ni vizuri umtongoze baada ya kuonana live au kabla ya kuonana live...?
Ipi...
No way. Yaani no way kabisa! Ukiachilia mbali aliyegundua sindano za kunenepesha kuku na ng’ombe pamoja na wale wa GMO waliotuletea nyanya zenye uzito wa robo kilo na ukubwa kama chungwa sisi...
Habar wana jf,, jumapili moja dec 2018 Nimetoka home jion naelekea kumuona mpenz wangu nikiwa na usafir wangu pkpk XLR bas nikiwa njian nyuma kulikua na gari aina ya Subaru, njia niyokua napita ni...
Nakumbuka nikiwa primary tulikua na utaratibu wa kwenda usiku shuleni kwa ajili ya masomo ya ziada, siku moja kama saa mbili usiku hivi tupo njian tunaelekea shule wakatokea watu ghafla na...
Niende kwenye mada moja kwa moja,nawauliza nyinyi dada zetu..
Mnapo amua kuvunja mahusiano,na kwenda kwingine..
Huwa mnasahau nini huku mliko toka?
Maana hamkomi kupiga simu na kutuma sms, eti...
Naomba niwambie kuna waliobahatika wakaoa wanawake hapa katika hili jukwaa!
Ila nikwambie ukibahatika ukaoa mwanamke anayeifahamu JF ujue lazima upigwe tukio maana wanawake wahumu ni kama makuli...
Ni ngumu kuachwa hasa na mtu unaempenda. Wengine wanakuambia tumefika mwisho wa barara, gari yetu ya mapenzi haiendelei na safari. Kuna wanaotoa visingizio, unakuta miezi mitatu hamjaonana wala...
Hivi inakua vip unakua upo kweny uhusiano wa kimapenzi na mtu ambae unajua hautakua unamuamin!??
Sometimes unakuta watu wanapigizana kelel hat mbele za watu Kisa wivu wa ajabu kwanini eti kwann...
Ndo ivo...
Inauma sana kidume umejikakamua kumpeleka dem South au Uarabuni mkale bata. Mnapiga picha nyingi but yeye atapost zile ambazo yuko peke ake. Sponsor hapostiwi.
Hivi unategemea sponsor...
-Yeah..naelewa Mungu alitukabidhi hawa viumbe.,.mwanaume ndio kichwa cha familia, mwanamke anapaswa kumtii mwanaume...n.k
Siko hapa kutetea makosa wanayofanya wanawake haswa wa kizazi hiki, ila...
Kumekuwa na kundi kubwa la baadhi ya wanawake kubadili majina yao halisi pale siku ya kwanza unapomtokea.
Baada ya siku kadhaa ndio unaweza kuja fahamu jina lake halisi.
Sijui huwa kuna nini...
Habari wana Jf
Natumai mu wazima wa afya.
Uzi wangu unahusiana na changamoto tunayokabiliana nayo sisi tusiooa bado.
Kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na kasumba ya wake za watu kuwakana...
Umeumwa sikio na watu unaowaamini lakini hakuna ushahidi wa moja kwa moja kua kuna jamaa anamtafuna mkeo au mpenzi/demu wako umpendae haswaa. Mara kadhaa unakutana na huyo jamaa mtaani au kazini...
Nahitaji binti awe tayari kuwa rafiki yangu ili kwanza tufamiane kwa kina na kama mbeleni tutapendezana then twaweza kuwa wachumba.
MUHIMU:
-kwa wale wadada wasiokuwa na nia ya mapenzi ya kweli...
...Natuma salam kwa wanawake na wanaume wote ambao hamjapokea hata sms za salamu za wapenz wenu leo... SALAMU kwa wanandoa mlionuniana usiku, Salam kwa Jamaa zangu mliopiga match kisha mkakumbuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.