Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu wanajamvi. Nimejaribu kwa namna zote kumkataza lakini anang'ang'ania isitoshe nina future nae. Naombeni ushauri nimfanyeje maana niko confused. Uzi tayari. Sent from my iPhone...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Nawashauri wakina baba walio na familia na vijana wa kiume ambao wako na mpango wa kuoa siku Moja kuwa wasiwe na tabia ya kuwa na kina mama wengi au tuseme wapenzi wengi mambo hayo sio mazuri kwa...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
lian Relationship: 1st day= Sex 2nd day= Sex again. French Relationship: 1st day = movies & kiss 2nd day = Sex 3rd day = Sex again British Relationship: 1 day= hangout & kiss 2nd day = kiss & hug...
5 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari za mwamko wakuu mabibi na mabwana!.. Bila kuwa chosha Sana.. Poleni kwa changamoto za kila uchao katika harakati za kusaka tonge. Nimeamua kuitoa kwa Dada na shemeji najihisi Kua bado...
1 Reactions
45 Replies
8K Views
  • Closed
Nimegundua sipendelei na wala siinjoy sex... Nahitaji mwanaume tutakaependana na kupeana emotional support bila kuhusisha sex.
17 Reactions
241 Replies
40K Views
hiv kwa uhalisia tu, 1.ni nani mwenye uhitaj wa ndoa kat ya ke na me 2.ni nan anaebembeleza ndoa 3.narudia tena,nani anaekumbushia saana kuhusu ndoa Hivi toka lini baba anaempa mwanae ada ya...
4 Reactions
45 Replies
4K Views
Habari wanajamvi, kama mnavyojua maisha ni mazuri na rahisi pale unapo intaract na watu mbalimbali katika masuala ya kimaisha. Mfano biashara, elimu, mahusiano na hata kijamii hivyoo uzi huu...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Mimi nikijana Nina umrii wa miaka 27 naitajia mwanmke mzr mwenye kujua mapenzi tupeana rahaaa tu umri wowote ila ajiamin tu naishi dms napia nimejaliwa bonge la naniliuu kwahiyoo ukinitafut...
0 Reactions
3 Replies
635 Views
mm nikijana wa miaka 26 natafuta mke wa kuoa -awe na miaka 20-25 -awe mkristo -rangi yeyote Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
779 Views
Natfta mpenz w kike wakupeana raha tu DSM Nichek kwanamba hii 0719220334
0 Reactions
4 Replies
872 Views
  • Closed
Ndugu zangu habari za siku nyingi poleni na majukumu na heri ya mwaka mpya nina imani mko sawa na bukheri wa afya.Baada ya kupotea kwa kipindi kirefu kutokana na uzito wa majukumu nimerudi tena...
15 Reactions
262 Replies
21K Views
Nicheki pm tuyajenge hasa maswala ya namba hasa whatsapp
0 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Closed
kiukweli nimechoka kuwa single miaka yangu ni 23 nipo mkoa wa DSM nime maliza chuo pia sjawahi kukutana na mwanaume ninayo tu.
6 Reactions
100 Replies
8K Views
Ni kule kule kwa akina Hurem mke wa Mtukufu Sultan Turkey , Mdogo wangu anasoma kule mwaka wa pili sasa, So kihoja kimekuja baada ya mwezi wa 12 mwaka uliopita kurudi kwa likizo ya muda mfupi...
2 Reactions
23 Replies
9K Views
Nahitaji kujuwa vitu muhimu ambavo ukiwa navo uwez sumbuliwa katika mipaka ya nchi wakati was safari ya kwenda south Africa mwenye kujuwa juu ya ili msaada tafadhali, na wale pia waongea shombo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
1. Unakaribisha sana Ndugu zake Kwako kuliko Ndugu zako 2. Ukiwa unakaribia kurudi Kwako Kwanza unajificha mahala Kufuta Meseji zako zote 3. Mkiwa mmelala Kitandani humuombi Penzi hadi aamue Yeye...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hamjambo wakuu, Nyie mnawaida wabaya ila mi kwangu hakuna mwanamke mbaya , Kwanza ni wachapakazi wazuri sana, Ni waaminifu sana kwenye suala la ndoa, Hawana madharau hata kidogo, Wanajua...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
Usioe usioe narudia tena mpendwa usioe!! - Ukiona msichana ana ujasiri wa kuvaa nguo fupi na kuingia barabarani bila aibu akitembea usioe - Ukiona msichana ana ujasiri wa kuvaa nguo ya kubana...
6 Reactions
45 Replies
14K Views
UFUSUKA ni tabia ya uasherati, uzinzi, anasa za ngono..n.k So.. Mungu amekujalia umeoa, unafurahi ndani ya ndoa, umepata watoto, una uwezo wa kujimudu kiuchumi...n.k Muda baada ya muda, unaanza...
34 Reactions
133 Replies
14K Views
Ni mara nyingi tu tumesikia juu ya Taarifa za matukio ya wanaume kuwaua wenzi wao na kutokomea kusikojulikana ingawaje wengi wao hukamatwa baadae na vyombo vya dora, Pia baadhi ya wanaume baada ya...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom