Matatzo ya kimahusiano

Matatzo ya kimahusiano

daud gallus

Member
Joined
Dec 2, 2018
Posts
10
Reaction score
9
Hivi inakua vip unakua upo kweny uhusiano wa kimapenzi na mtu ambae unajua hautakua unamuamin!??
Sometimes unakuta watu wanapigizana kelel hat mbele za watu Kisa wivu wa ajabu kwanini eti kwann ujipe shida!??
Kila siku wanawake kwa wanaume wanazaliw unashindwa kutumia kauli mbiu ya KATA MTI, PANDA MTI!?
mpka wengn wanaanza kuomba ushaur kweny majukwwaa kam hay!??
Jaman naomben mnisaidie kuwashaur hawa watu na kuwaambia MAPENZI HAYA SHAURIKI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MAPENZ HAYA SHAURIKI.
Yaah ni kwel...

Lakini ukitaka ushahur kuhusu mahusiano bora, waweza kushauri.
IMG_201811317_114344.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika mapenzi mshauri mkuu ni kichwa chako,wachangiaji ni kushea uzoefu tu.
 
Back
Top Bottom