Wanawake na kubadili majina.

Wanawake na kubadili majina.

PEVU HALISI

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2018
Posts
207
Reaction score
85
Kumekuwa na kundi kubwa la baadhi ya wanawake kubadili majina yao halisi pale siku ya kwanza unapomtokea.
Baada ya siku kadhaa ndio unaweza kuja fahamu jina lake halisi.

Sijui huwa kuna nini nyuma ya pazia, au ndio fashion??
 
Mwanzo alijiita jina gani na sasa anajiita nani?

Wengine wanakuvutia waya tu kwa majina romantic.

Unakuta mtu anaitwa kacholijo.

Ukimuuliza unaitwa nani atakuambia kajojo. Hapo anakuvutia waya...anakusaidia kumtia kwa box.
 
Na wanaume siku hizi wapo
Sio sisi tu
Mi hapo zamani nikiwa sipendi kutaja jina unalazimisha ukiniuliza tu jina halima linanijia kichwani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanzo alijiita jina gani na sasa anajiita nani?

Wengine wanakuvutia waya tu kwa majina romantic.

Unakuta mtu anaitwa kacholijo.

Ukimuuliza unaitwa nani atakuambia kajojo. Hapo anakuvutia waya...anakusaidia kumtia kwa box.
Wanaropoka lolote tu linalowakalia sawa
 
wanaume pia wanadanganya majina.oh nyumbani naitwa hivi.simu inajina lingine n.a. kazini jina lingine mmmh watu sio waaminifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebu ngoja nimuulize Mwajuma nichokonoe, wa hapa cape town
 
Kawaida sana hiyo! Lazima ujilinde kwanza kuliko kujilipua 100%
 
Back
Top Bottom