Magnificient
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,177
- 734
No way. Yaani no way kabisa! Ukiachilia mbali aliyegundua sindano za kunenepesha kuku na ng’ombe pamoja na wale wa GMO waliotuletea nyanya zenye uzito wa robo kilo na ukubwa kama chungwa sisi wanaume tunalia na aliyegundua make up na booster.
Wanaume tunaibiwa, wanaume tunadanganywa mchana kweupeeeeeee………. No wonder why mapenzi ya kweli yalikufa kifo cha mende. Mbele ya makalio na matiti yaliyopigwa booster na uso uliopigwa make up vizuri hakuna mwanaume anayetumia akili na roho tena – ni macho na moyo tu. Alaaniwe sana aliyeleta make-up na booster. Ametufanya tutapeliwe sana!
Na wanawake wote sasa wanapita short-cut tu ili kupata wanaume. Hakuna anayejisumbua kujitunza vizuri wala kuwa na maadili makubwa tena. Sio tena kama miaka ya zamani ambapo mtu akitaka kuoa anashauriwa na wazee kwamba nenda kaoe kwa mzee fulani pale kuna binti mzuri ana maadili na ni mchapakazi sana.
Siku hizi kijana anavutwa na wowowo leo kesho kutwa anaishi na binti wa watu ghetto, baada ya miezi mitatu anaenda kwa wazazi wake kuwashow-off then anasepa zake – wazazi waridhike wasiridhike watajijua wenyewe.
Waziri wa wizara ya maendeleo ya mapenzi, wanaume na wakubwa unayaona haya? Waziri wa wizara ya mambo ya chumbani unayaona haya?
Somebody call 912 kabla hatujaibiwa kabisa. Inauma sana. Tunajikuta tunaoa bila kupenda. Tunatamani tu. Na ukioa kutunza ndoa inakuwa changamoto maana huko nje mambo ni moto…….
Again no wonder why nguvu za kiume maeneo ya mjini ni shida sana. Wewe kutwa mzima unatembea ukiwa umesimamisha unategemea ukirudi nyumbani kwako kwa mkeo utakuwa na nguvu tena? Please ladies excuse us. Hear our cry. Stop make-up, stop boosting your bobs and butts.
Ila nini kimetokea kwenye miguu yenu? Make-up haikai? Haa haa haaaaa 😛😛😛
Na usiombe uwe umelewa kidogo – kila mwanamke anakuwa mzuri. Kuja kustuka hauna kitu!