BILGERT
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 6,532
- 11,029
Niende kwenye mada moja kwa moja,nawauliza nyinyi dada zetu..
Mnapo amua kuvunja mahusiano,na kwenda kwingine..
Huwa mnasahau nini huku mliko toka?
Maana hamkomi kupiga simu na kutuma sms, eti unanisalimu.Mbona mimi sikupigii?
Binafsi sifurahishwi kabisa na huo utaratibu...
Wewe dada mchaga,ambaye ni mwalimu shule moja huko njombe ..nakuomba uendelee na maisha yako tafadhari..
Mwaka mpya umeanza,na mambo mapya..
Mtuache angalau tupumue aisee..
Niwatakie Asubuh njema wote..