Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwa wale mliobahatika kuona Uzi wangu leo asubuhi nikimtaarifu mwanajamvi mwenzetu awahi kurudi nyumbani kwake kwani kuna jamaa kaingia ndani kwake kumbe jamaa aliona uzi wangu. Kama dakika 45...
6 Reactions
38 Replies
5K Views
Yaani unakutana Na mkaka mzuri mpaka ananukia mahaba .Ila unakumbuka ushaapa mwaka huu hutaki kuzini.unaishia kutokwa mate tu Sent using Jamii Forums mobile app
8 Reactions
107 Replies
8K Views
Wakuu natumaini ni wazima wa afya. Nakuja mbele yenu kwa unyenyekevu na majozi makubwa sana maishani mwangu. Mwaka 2013 tuliazisha mahusiano na binti mmoja tukapenda sana. Katika kuwa naye kwenye...
5 Reactions
222 Replies
21K Views
Nataka msaada kidogo tutani Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kuna baadhi ya watu wengi wao wanaotoka kweny familia duni Wakishaanza kupata njia ya mafinikio au wamefanikiwa wanaanza dharau au maringo hat kwa baadhi ya ndugu zao hat jamaa zao ,wengne...
2 Reactions
35 Replies
6K Views
HIVI MADEMU HII AKILI YA KUTOPOKEA SIMU AU KUZIMA SIMU... HIVI KWANINI HAMPENDI KUONGEA UKWELI...SEMA TU UKWELI...SIKUPENDI, SIKUTAKI...AU SITAKI...SITOFIKA...USIJE... JUST SEMA UKWELI...KULIKO...
2 Reactions
79 Replies
6K Views
Nawasalimu wote, Kumekuwa na kasumba ya wadada (baadhi) kutoa mimba ovyo bila kujali na kufikiria madhara yanayotokana na kitendo hicho eti kisa wa nataka wabaki wasichana au wanaona aibu kuwa...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Naandika thread hii huku nikiwa na hasira mithili ya mbogo aliyejeruhiwa! Mm nina mke wangu na tumekuwa pamoja kwa miaka 10 na tumejaliwa kupata watoto wawili wa kike,kitu cha kusikitisha ni...
3 Reactions
132 Replies
10K Views
Wakuu,mi kiukwel nmetembea na wadada weng mpaka sasa,na kwa umri nilionao nahis imetosha sasa...yanipasa kutafta mdada wa maisha sasa... Ila tatzo ni kwamba,kuna mdada nilikutana nae 2009 kipind...
1 Reactions
53 Replies
4K Views
Habari zenu wana jf Leo nimeamua kushare na nyie kitu nilichofanyia utafiti kwa muda mrefu. kitu chenyewe ni kuhusu wanawake wengi wa kihindi kuto kata vuzi,kwanza nilitembelea website kadhaa za...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Diamondplatnumz ,Aytanzania,Alikiba ,benpol Na wengine wengi .je Dada zetu awana mvuto Na ushawishi. Sasa kuna sababu nyingi zinazo Fanya wasani wa kiume kuvuka mipaka ya inchi kwenda kutafuta...
0 Reactions
1 Replies
955 Views
Habarini ndugu zangu mimi ni kijana, nina umri wa miaka 27, natafuta mchumba anaye endana na mimi, awe mweupe, mrefu wastani, mzuri, mwembamba ila sio sana, lile umbo la kuvalia nguo. mimi ni...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Anatokea tanga Ana mtoto mmoja Ana shape namba nane Ni mweusi. Kama ni mpenzi wako naomba umuache Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu zangu wanajamii,mimi ni kijana ambae hivi sasa nina umri wa miaka 24 na nimefanikiwa kumaliza elim yangu ya juu mwaka Jana.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Yaani akina dada mnayumba kichizi. Uko na mshkaji wako lakini stori zote unazjua wewe kuanzia michezo, siasa udaku na hata ufundi katika uongo.. Na la uongo hili ndo baya sana tnawasikilza...
1 Reactions
2 Replies
934 Views
Kwa msichana aliye boreka ana ana stress na anahitaki kapani kwa usiku huu naomba DM tupeane kampan please Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
863 Views
Ni baada ya mechi kukolea mpaka uwanja ukakauka Nikatoa pendekezo, paka mate basi iteleze. Naye bila hiyana akaniuliza nipake wapi sasa mbele au nyuma?? Msukuma nikashindwa kuelewa. Hivi hawa watu...
7 Reactions
67 Replies
6K Views
Haiwezekani, Katika list ya wadada niliowahi kurusha nyavu zangu na kukataliwa (japo ni wachache sana) wengine wana zaidi ya mwaka tunapigana chenga tuu bila bila. Leo tarehe 4 January, nyavu...
8 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari wakuu, Nampenda sana huyu mpenzi wangu kiukweli, Na sipendi kuchepuka maana nataka awe wa kuishi naye kama mke huko mbeleni, Anapenda kuja kwangu ninapokuwa na nafasi,na mpenzi anapokuja...
2 Reactions
80 Replies
8K Views
Hii inatokea sana kwa sisi wanaume unakuta umemtongoza mdada na kweli upo serious unataka kuwa naye hata awe mke kwa baadae ila unaanza kuwekewa masharti sex subiria kwanza ni mapema mno...
5 Reactions
75 Replies
9K Views
Back
Top Bottom