CHIBA One
JF-Expert Member
- Nov 16, 2018
- 558
- 2,102
...Natuma salam kwa wanawake na wanaume wote ambao hamjapokea hata sms za salamu za wapenz wenu leo... SALAMU kwa wanandoa mlionuniana usiku, Salam kwa Jamaa zangu mliopiga match kisha mkakumbuka Mifuko baadae!
Salamu kwa mliotoka kugegedana Na jua hili kali... Salamu kwa Ma single maza wote mliopata Waume wapya, Salam kwa Wanawake wote Mliogegedwa baada ya kulewa.... Salam kwa wanawake mnaotaka kutuma Msg za kudanga!! Kheri na iwe kwenu wakuu....
Salam kwa wote Mliooa na kuolewa Kisha mnajuta... Salamu kwa Mliowakumbuka ma ex zenu..... Salam Kwa Wote mliotumbua PESA sikukuu na sasa Mnarudi na Mikate nyumbani.
Asalaaaaaaaam
Sent using Jamii Forums mobile app