KakaKiiza
Platinum Member
- Feb 16, 2010
- 11,952
- 9,469
Naomba niwambie kuna waliobahatika wakaoa wanawake hapa katika hili jukwaa!
Ila nikwambie ukibahatika ukaoa mwanamke anayeifahamu JF ujue lazima upigwe tukio maana wanawake wahumu ni kama makuli wa bandarini uhuni wote matusi yote wanayajua na mbinu zote za uchepukaji wanajua!Na ukiona mwanaume ajui JF ujue huyo mambo mengi ya kidunia.
Nimesema haya baada yakuona vijana akiona Avatar nzuri anazama PM utauwawa bure!
Engineeer Soma Hiyooooooooooo!!!!!!!