Ndoa pamoja na changamoto zake

Ndoa pamoja na changamoto zake

Qassim14

Senior Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
182
Reaction score
203
Habari humu...
Nina machache ya kujadili na ninyi mlio ndani ya ndoa yenye kuchanganya kidogo na yanahitaj mwenye uelewa mzuri kunielewa point yang na kunijibu vema kwa namna yeye anaona kwa upande wake...

1. Tendo la ndoa.

Je ni kweli tatzo kubwa la wanandoa kuwa na mahusiano mbov ni tendo la ndoa??

How? "Ni kwamba mfano mmoja wenu kati ya wawili kabla ya ndoa alikua mtundu kwenye suala la sex. Hivyo anapoingia kwenye ndoa anapoteza mood coz kashasex sana?" Hapa msaada wenu kama kuna ukweli wowote?

2. Pesa( kipato)

Je ni kweli kutokua muwaz kwa kioato kiingiacho mfukoni kunaleta madhara ndan ya nyumba??

How? " ni kwamba mwanaume anakua sio muwaz kwenye kipato anachoingiza na huwa anaitikia kila ahad anayoombwa na mwenzie kuwa atatekeleza na badala yake hakuna utekelezaji hii huleta hisia kwamba hela anayo halaf hanipi ninayohitaji wakat huenda hela hakuna ila hukua muwaz kwenye kipato" na hapa pia nahitaji msaada juu ya hili.
Nawasilisha mada.

Angalizo: iwapo hujaelewa ni vema ukarudia kusoma maelezo ya mjadala vema ilo utoe majibu yenye mantiki na sio tofaut na ivyo. Kuna ndoa nyingi za vjana zinaanguka na kuna vijana w3ng wanahofia kuoana... mawazo yako kwa kiasi fulani yataleta mabadiliko katika hilo.
Ahsante sana. Na karibu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom