Huyu mwanamke alinikataa kwa sababu mimi muuza kiepe

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Ni kama mwaka mmoja na nusu sasa umeshapita huyu demu Nilikuwa na mahusiano nae na hata papuchi nilishakula ila tatizo ni kwamba enzi zile nilitaka nivute jiko niweke ndani kwa sababu ya kuvutiwa nae tu kwenye baadhi ya mambo ila ile siku namwambia alinijibu kwamba hawezi kuwa na mume muuza kiepe tena kwa nyodo, nilichomwambia ni kwamba avumilie ipo siku mambo yatakuwa safii,

Alichonijibu ni kwamba alipokuwa mdogo alishaishi kwenye tabu hivyo hataki pia ukubwani kwake aje kuishi kwa tabu,

Stutus yake huyu binti;
_Miaka 27 mpaka mwezi wa 3 anafikisha 28,
_Elimu kidato cha nne,
_Anaishi kwa dada yake siyo wa damu ni yule wa kukutana nae ukubwani na kusaidiana.

Sikumjibu chochote mpaka sasa japo baada ya mambo yangu kuanza kukaa poa flani hivi naona anaanza kujigonga gonga tena kwa kasi ya ajabu sasa nimepanga kumfanyia suprise ya hajabu mwaka huu,

Tayari nimeshamuandaa mama watoto wangu ambae ni mkali kumzidi mwezi wa tatu siku ya happybirthday yangu nataka nimvishe pete ya uchumba nitafanya sherehe ndogo tu ila lazima nitoe mualiko kwake pamoja na baadhi ya majirani waje kushuhudia.

Alafu baada ya hapo hatoamini nitakachoenda kukifanya ili nimuonyeshe kwamba hakuna mwanaume maskini wote tuna pesa tunachotofautiana ni wakati wa kuzimiliki tu,

Cc Zero IQ.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume haki sijui tuna tatizo gani kwenye vichwa vyetu... Wakiwadanganya manalaumu, mtoto wa watu kawa mkweli bado unalaumu, huyu alikuepusha na matatizo lukuki kwa taarifa yako ulitakiwa kumshukuru sana kwa kuwa muwazi na mkweli wa hisia zake kwa kiwango hicho....
 
Sasa kwa nini anakuja tena kushoboka mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume haki sijui tuna tatizo gani kwenye vichwa vyetu... Wakiwadanganya manalaumu, mtoto wa watu kawa mkweli bado unalaumu, huyu alikuepusha na matatizo lukuki kwa taarifa yako ulitakiwa kumshukuru sana kwa kuwa muwazi na mkweli wa hisia zake kwa kiwango hicho....

Tatizo ni kuanza kumfuata baada ya kuona mambo yake yananyooka
 
Ni kama mwaka mmoja na nusu sasa umeshapita huyu demu Nilikuwa na mahusiano nae na hata papuchi nilishakula ila tatizo ni kwamba enzi zile nilitaka nivute jiko niweke ndani kwa sababu ya kuvutiwa nae tu kwenye baadhi ya mambo ila ile siku namwambia alinijibu kwamba hawezi kuwa na mume muuza kiepe tena kwa nyodo, nilichomwambia ni kwamba avumilie ipo siku mambo yatakuwa safii,

Alichonijibu ni kwamba alipokuwa mdogo alishaishi kwenye tabu hivyo hataki pia ukubwani kwake aje kuishi kwa tabu,

Stutus yake huyu binti;
_Miaka 27 mpaka mwezi wa 3 anafikisha 28,
_Elimu kidato cha nne,
_Anaishi kwa dada yake siyo wa damu ni yule wa kukutana nae ukubwani na kusaidiana.

Sikumjibu chochote mpaka sasa japo baada ya mambo yangu kuanza kukaa poa flani hivi naona anaanza kujigonga gonga tena kwa kasi ya ajabu sasa nimepanga kumfanyia suprise ya hajabu mwaka huu,

Tayari nimeshamuandaa mama watoto wangu ambae ni mkali kumzidi mwezi wa tatu siku ya happybirthday yangu nataka nimvishe pete ya uchumba nitafanya sherehe ndogo tu ila lazima nitoe mualiko kwake pamoja na baadhi ya majirani waje kushuhudia.

Alafu baada ya hapo hatoamini nitakachoenda kukifanya ili nimuonyeshe kwamba hakuna mwanaume maskini wote tuna pesa tunachotofautiana ni wakati wa kuzimiliki tu,

Cc Zero IQ.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kufanya vitu kumkomoa unazingua pia
Just ishi maisha yako mwache aishi ya kwake kufanya vitu kwa ajili ya kumkomoa sio wazo zuri
 
Nataka nami nimuumize kidogo tu mkuu nilimpenda wakati ule na jibu lake lilinipa maumivu makali kinyamaa licha ya kumbembeleza sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kiumbe wa kike anapenda taabu duniani mkuu, wanaume tulipewa jukumu la kuwapa raha na furaha hawa viumbe dhaifu, na wao wanaujua ukweli huo...
Hakika ila kuna wanawake wanaosota wote na waume zao mkuu mpaka wanatusua?

Hakuna Raha katika dunia hii kama kumiliki au kushare kitu ambacho unahisi nawe ulitoa jasho kukitafuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huko sasa ni kumtambia,jambo ambalo ni baya sana,kama alikukataa,wewe oa na huna haja ya kumwalika kwa nia ya kumtambia,kumbula unaoa mke wako na humuolei mtu mwingine,kutamba kwanini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kama mwaka mmoja na nusu sasa umeshapita huyu demu Nilikuwa na mahusiano nae na hata papuchi nilishakula ila tatizo ni kwamba enzi zile nilitaka nivute jiko niweke ndani kwa sababu ya kuvutiwa nae tu kwenye baadhi ya mambo ila ile siku namwambia alinijibu kwamba hawezi kuwa na mume muuza kiepe tena kwa nyodo, nilichomwambia ni kwamba avumilie ipo siku mambo yatakuwa safii,

Alichonijibu ni kwamba alipokuwa mdogo alishaishi kwenye tabu hivyo hataki pia ukubwani kwake aje kuishi kwa tabu,

Stutus yake huyu binti;
_Miaka 27 mpaka mwezi wa 3 anafikisha 28,
_Elimu kidato cha nne,
_Anaishi kwa dada yake siyo wa damu ni yule wa kukutana nae ukubwani na kusaidiana.

Sikumjibu chochote mpaka sasa japo baada ya mambo yangu kuanza kukaa poa flani hivi naona anaanza kujigonga gonga tena kwa kasi ya ajabu sasa nimepanga kumfanyia suprise ya hajabu mwaka huu,

Tayari nimeshamuandaa mama watoto wangu ambae ni mkali kumzidi mwezi wa tatu siku ya happybirthday yangu nataka nimvishe pete ya uchumba nitafanya sherehe ndogo tu ila lazima nitoe mualiko kwake pamoja na baadhi ya majirani waje kushuhudia.

Alafu baada ya hapo hatoamini nitakachoenda kukifanya ili nimuonyeshe kwamba hakuna mwanaume maskini wote tuna pesa tunachotofautiana ni wakati wa kuzimiliki tu,

Cc Zero IQ.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,tuwakilishe vyema ktk mambo yako yote!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom