Demu wa mtandao

Demu wa mtandao

Nakadi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
7,776
Reaction score
7,375
Ety wadau...
Ni wakati upi ni sahihi wa kumtongoza/kumtamkia bayana demu uliyefahamiananae kupitia mtandao...
Ni vizuri umtongoze baada ya kuonana live au kabla ya kuonana live...?
Ipi ina-makesense hapo..?

Uzi tayariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Kama ni demiss, mtongoze tu hata bila kumuona, ni vizuri zaidi. Face to face utaishia kumwomba namba ya simu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom