Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hapa nipo nje ya nyumba ya ibada baada ya ibada ya siku leo. Kwa mbali kidogo naskia watu wazima (50 -60 yrs ) wanazungumza. Wanazungumza kuhusu ndoa, wanasema "ndoa ni pasua kichwa", ndoa ni...
0 Reactions
4 Replies
939 Views
Habari za jumapili na week-end kwa ujumla nduguzangu; Nilishafanya research lakini nahisi bado sijapata majibu yaliyo kamilika kutoka kwa subset nulizo zihusisha kwenye tafiti yangu, maana...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mahusiano yamekua yanajengeka kwa kasi sana na mengine yakibomoka kwa kasi sana kiasi kwamba mambo mengi huwa yanatokea. Mahusiano hubomoka kwa sababu tofauti tofauti ikiwepo usaliti wa Mara...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Siku zote nikiwa kwenye mahusiano, nikifanya mapenzi na demu wangu kama mara 3 tu hivi namchoka kabisa, hamu yote inaniisha kinachoendelea hapo labda hadi yeye atake ila sio mimi kutaka kufanya...
0 Reactions
114 Replies
10K Views
Swali lenyewe ni hili...... Wewe mdada unapokutana au mwanaume amekufuata anakuambia "sister NIMEKUELEWA" Hivi huwa mnajiskiaje na je Jibu gani ni sahihi hapo!? Kwa Wanaume... Unavyomwambia...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Tuwe naye katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mama mzazi... Yuko safarini kuelekea Bukoba kwa mazishi.... Neno lako la faraja litampa nguvu na kumtia moyo Jr[emoji769]
11 Reactions
98 Replies
7K Views
Je tezi dume inatibika kwa njia ya upasuaji? Msaada kwa mwenye uelewa
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Wadau habari za wikiendi? Nimeona nianzishe "UZI" huu wa maandalizi muhimu ya harusi na send off ili tuweze kusaidia asilimia kubwa ya wale ambao wanahitaji la kuja kufanya shughuli kama hzo kwa...
1 Reactions
9 Replies
7K Views
Mimi nina miaka 22 nina mpenzi wangu ambaye nampenda Sana tumeanzisha mahusiano hivi karibuni ni mzuri sana lakini kinachonichosha ni mvivu kwenye sita kwa sita pia umbo lake linasababisha tutumie...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
MAANDIKO YALIPOSEMA "Enyi Wanaume Ishini na wake zenu kwa AKILI" Mungu alikuwa anajua anachosema. Kama huna akili Mwanamke atakukoroga maisha yako yote na utaishia kusema "Women are so...
5 Reactions
81 Replies
9K Views
Kwanza unapaswa kutambua nafasi ya saikolojia katika kufikia utamu halisi unaotamaniwa na kila mmoja. Kumekuwa na malalmiko mengi sana toka kwa akina dada juu ya kutofikishwa wawapo katika chakula...
2 Reactions
17 Replies
6K Views
habari za wakati huu wana jukwaa pendwa,kama heading inavyosemeka hapo juu, sifa zangu maji ya kunde sio mnene wala mwembamba nina kipato cha wastani kama laki nne hivi nimepanga chumba na...
0 Reactions
3 Replies
982 Views
Jamani naomba ushaur wenu maana utafit unaonyesha kuw sikuhiz uchumba ni wa kudanganyana na si wa kwel ..Maana nalisem hili kwa kuw limesha nitokea kwa mwanamke niliyempenda Sana'a na mwisho wa...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu wa Jf . Naomb niende moja kwa moja kwenye dhumuni la kutuma uzi huu, Tar. ...../11/..... nilimtongoza mwanamke aliyekuwa akikaa mtaa wa pili . Mara ya kwanza alikuwa anagoma...
1 Reactions
54 Replies
12K Views
hello ushawahi kuona mtu baada ya uhusiano amekua shattered...? We ALL experience ups and down in relationship,hata baada ya ku break up..tuna move on.. ila kwa some,they cant simply go on...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Hii kitu wengi huwa hawaifaham.wadada wa uswazi wanajua sana mambo ya mapenz ingawa wengi inasemekana si wachoyo ila asilimia kubwa ya nyumba ndogo wataalam wanasema ni za kutoka uswazi. Unakuta...
15 Reactions
51 Replies
13K Views
kipindi cha balehe nakumbuka nilikuwa bingwa wa kutoa ushauri wa jinsi ya kutongoza madem kwa vijana wenzangu lakini wasichojua mimi nilikuwa muoga kwa madem hata kunguru ana afadhali, basi kuna...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Nimepoteza uaminifu kwa kiwango kikubwa sana, nilijua kuwa labda wanawake wanachiti ikiwa mna mgogoro katka mahusiano lakini kumbe sio kweli. Huyu dada tunaishi vizuri sijawai hata kumliza...
5 Reactions
89 Replies
16K Views
Hivi inakuwaje mtu unaongea na simu kwa sauti kwenye daladala halafu halafu unaongelea sikioni mwa jirani yako sauti yote inaishia humo. sipendi Sent from my iPhone using JamiiForums
8 Reactions
68 Replies
7K Views
Ikiwa mwananume ananiacha mimi sababu ya matatizo yangu na majaribu nnayopitia. Nami siku yakipita nkasema sutaki mtu mwenye matatizo ntakua mkosaji? Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
190 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…