Ni mnene lakini ni mvivu kwenye shughuli

Igle Tz

New Member
Jan 25, 2019
3
3
Mimi nina miaka 22 nina mpenzi wangu ambaye nampenda Sana tumeanzisha mahusiano hivi karibuni ni mzuri sana lakini kinachonichosha ni mvivu kwenye sita kwa sita pia umbo lake linasababisha tutumie stail moja kitu ambacho kinakela natamani kumwacha lakini bado nampenda ushauri wetu tafathali
 
mm Nina miaka 22 Nina mpenz Wang ambaye nampenda Sana tumeanzisha mahusiano hiv karbun .ni mzuri Sana lakini kinachonichosha ni mvivu kwenye sita kwa sita pia umbo lake linasababisha tutumie stail moja kitu ambacho kinakela .natamani kumwacha lakini bdo nampenda .USHAURI WENU tafadhal
Mzee baba hujui mastaili ya kumuweka huyo,, unanisikitisha kabisa kijana,, hakuna demu rahisi kumfikisha kama mnene,, narudia tena hakuna mechi rahisi kushinda kama kukutana na mabonge sijawai hema kabisaaa ,,, vimbaumbau ndo mnaweza sumbuana au broo uka lose hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ongeza bidii shukeni au kazini ,jiwekee akiba ukibuni mradi wa kufanya ,mambo ya mapenzi achana nayo kwanza
 
nyie si mnasema mtoto kama Vanesa kwenu hamuhitaji...akati hao ndo balaa...endeleeni na hao hao bonge bonge
 
Back
Top Bottom