Nitakuwa nakosea?

Siku zote kuachana kunatokana matatizo sio raha
Hapana. Namaanisha changamoto za kimaisha
Hebu tufanye mfano una mpenzi lakini ghafla unapafa ajali inayopelekea wewe kusindwa kufana yale ya kawaida na kudondoka financially
Then yeye anaamua kukuacha sababu a hiyo hali unayopitia..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikiwa mwananume ananiacha mimi sababu ya matatizo yangu na majaribu nnayopitia.
Nami siku yakipita nkasema sutaki mtu mwenye matatizo ntakua mkosaji?

Sent using Jamii Forums mobile app
Utakosea,tena saaana,utatengeneza circle ya kujirudia,uliachwa,ukaacha na uliemuacha ataacha sababu ya matatzo ya mwenza wake kama ulivyomfanyia
Kingine aliekupenda hawez kukuacha kisa matatizo,kuna asilimia kubwa aliekuacha hakukupenda ila alipenda kitu fulan hv kwako(ushakielewa),anaekupenda huumia ukiumia,huwa na mawazo ukiwa na matatizo mnashikamana,pendwa kwanza(ingawaje kumjua anaekupenda n mtihan mwingne) then utaamin kupendwa raha ukiwa na matatizo,utaenjooooooooi weweeeeee(USHAURI WA USINGIZ DADA ANGU HUU)
 
Asante kwa hili.. Nimekuelewa

@aggjay si tuyamalize tuu? Umekuja kunitangaza huku?

Anyway pole sana. Lakini mm siamini kwenye kulipiza kisasi as long as naamini nipo at a right track.

UsimlipiZe mtu ubaya. Omba Rehema tuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom