Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 10,000
- 16,207
Siku zote nikiwa kwenye mahusiano, nikifanya mapenzi na demu wangu kama mara 3 tu hivi namchoka kabisa, hamu yote inaniisha kinachoendelea hapo labda hadi yeye atake ila sio mimi kutaka kufanya nae sex as first na wale wasio jielewa naweza ishia kusex mara moja tuu alafu nikakimbia..
Sasa nikiwa nimekunywa pombe cha kwanza nikiwa nipo na mamen wenzangu tunaanza kuongea kuhusu maisha ya badae na ndoto za utajiri na mipango mbalimbali ya kupiga hela ndefu nikitoka hapo au nikianza kuona wanawake tuu naanza kufikiria sex mwanzo mwisho..
Nikifika geto huwa siulizi nafika na kuoga nikimaliza kuoga namvuta kipenzI changu Paulina, natamka maneno machache, Paulina kipenzi wewe mzuri kama miss Tanzania, namkumbatia naanza kumchumu mdomo, Paulina nae huwa halazi damu kabisa anaanza kunipapasa kila mahali,
Natoa nguo ya juu ya Paulina namshika nyonyo zake nzuri kabisa, hapo tunakuwa kitandani Paulina wala hana usemi, namla mambo kisha tunalala.
Sent using Jamii Forums mobile app