mwanamke mchumba wakiislamu anahitajika

BABA SANIAH

JF-Expert Member
Oct 20, 2013
4,496
5,693
habari za wakati huu wana jukwaa pendwa,kama heading inavyosemeka hapo juu,
sifa zangu
maji ya kunde
sio mnene wala mwembamba
nina kipato cha wastani kama laki nne hivi
nimepanga chumba na sebule,nipo dsm
elimu yangu darasa la pili b.
sifa za mchumba nimtakaye
elimu yoyote ila ya dini ni muhimu kwake
awe tayari kuishi kiislamu na kufuata taratibu zake
kabila lolote kasoro mchaga.muhaya na mnyakyusa
rangi .yoyote ila asiwe mweupe
awe mrefu sana au wa wastani,ila asiwe mfupi,
mwenye sifa hizo njoo pm.
watoa povu ruhsa,kwani mtu anachagua apendacho,sio apangiwacho na walimwengu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom