Hii kitu wengi huwa hawaifaham.wadada wa uswazi wanajua sana mambo ya mapenz ingawa wengi inasemekana si wachoyo ila asilimia kubwa ya nyumba ndogo wataalam wanasema ni za kutoka uswazi.
Unakuta...
kipindi cha balehe nakumbuka nilikuwa bingwa wa kutoa ushauri wa jinsi ya kutongoza madem kwa vijana wenzangu lakini wasichojua mimi nilikuwa muoga kwa madem hata kunguru ana afadhali, basi kuna...
Nimepoteza uaminifu kwa kiwango kikubwa sana, nilijua kuwa labda wanawake wanachiti ikiwa mna mgogoro katka mahusiano lakini kumbe sio kweli.
Huyu dada tunaishi vizuri sijawai hata kumliza...
Hivi inakuwaje mtu unaongea na simu kwa sauti kwenye daladala halafu halafu unaongelea sikioni mwa jirani yako sauti yote inaishia humo.
sipendi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ikiwa mwananume ananiacha mimi sababu ya matatizo yangu na majaribu nnayopitia.
Nami siku yakipita nkasema sutaki mtu mwenye matatizo ntakua mkosaji?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara shaa katika pita pita zako unamfumania demu wako Je! utafanyaje au utaamua nini? mimi nitaamua kusepa tu kwa amani
wanaume mnasemaje?
Kama ikikutokea na kumbuka wanaume huwa tunaumia sana...
Bila kujali jinsia. Kuna nyakati mashemeji wanaleta mashitaka ya ajabu sana. Lengo linaweza kuwa zuri kuimarisha mahusiano yake na nduguyo/jamayo ila bado haiondoi ukweli kwamba ni mashitaka ya...
Huu ni ujumbe tu kwa wanaume wenzangu.
Pamoja na magumu anayopitia mwanaume mwenzetu ndugu Robert G. Mugabe, the ten executive president of Zimbabwe yanayotokana na mke mpenzi, hatuna budi kuacha...
Bila kupoteza muda twende kwenye mada directly.
Kwa nature ya mtu anayeitwa mwanamke na nature ya mtu anayeitwa mwanaume hawa watu wakikaa ofisi moja kwa muda wa masaa 8 kila siku ndani ya wiki...
Wiki mbili zilizopita niliweka uzi juu ya usaliti niliofanyiwa na ukweli ni kuwa siku za mwanzo nilikuwa na nguvu sana lakini kadr isiku zilivyozidi nilijiona kuwa mnyonge na kukosa furaha huku...
Ushauri mwanana kwa dada zangu ,Nafahamu wengi hampendelei sana soka lakini hii itawasaidia kumjua mwanaume ataedumu kwa nyakati zote .
Mwanaume akikutongoza muulize anapenda timu gani akitaja...
Iwapo umeona demu au men mzuri akakuvutia jambo la kwanza utachungulia kwenye mkono wa kushoto kuona kama kuna pete,
Kwa nini usumbuke kiasi chote hicho, sayansi imekuja na jibu rahisi kabisa...
Wakuu,
Hivi kumwambia mwanamke wako nakuaminii na kuwa huwezi kuja nisalitii kuna imchango wake katika kulinda penzi lenu???
Sent using Jamii Forums mobile app
DISCLAIMER: "TO SET THE RECORD STRAIGHT, Nyani Ngabu IS NOT MY DADII..."
Mahabuba Dadii.....
Dadii, kwa kila nifanyalo, unanijia mawazoni na akilini mwangu....
Wajua nimetingwa na majukumu ya...
Wapendwa,
Habari za kutwa nzima na habari za usiku huu. Nyie jamani kama hujawahi kuachwa usitamani hiyo hali ikukute.
Kuachwa kunauma nyie jamani, yaani moyo unauma, akili inajaa mawazo na...
Tuwaheshimu Sana wanawake wetu kazi ya kuzaa ilikuwa Ni agano Kali sana ambalo Mungu aliagana nasi.uvumilivu na ujasiri wa kiasi Cha juu Sana kutuleta duniani.kwenye mambo ya kuzaa Kuna mengi Sana...
Habari za asubuh wana nzengo.
Ijumaa baada ya kutoka kazin,nilipita sehemu kupiga mbili tatu kabla sijarud nyumban.
Ikatokea nikakaa meza moja,ilikuwa ina kinywaji Ila hakijafunguliwa,akaja...
Nimekuta hiii tahadhari twetter
" Vijana wenzangu umalaya ni gharama"
Vijana wengi wanatumia mitandao kupata mahusiano mapya ya kingono ni kundi dogo sana la vijana wanaojua kuwa Umalaya ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.