Walio/watakao ingia kwenye ndoa msije mkaenda kupima DNA kuthibitisha watoto kama ni wako.

moto wa maji

JF-Expert Member
Mar 25, 2016
4,070
2,872
Mahusiano yamekua yanajengeka kwa kasi sana na mengine yakibomoka kwa kasi sana kiasi kwamba mambo mengi huwa yanatokea.

Mahusiano hubomoka kwa sababu tofauti tofauti ikiwepo usaliti wa Mara moja au usaliti uliokubuhu kiasi kwamba wanamahusiano hubaki njia panda.

Mahusiano yanavyoendelea wengine hufanikiwa kupata mtoto au watoto lakini ndani ya mahusiano wakawa hawaaminiani kiasi kwamba wanachukua maamuzi yakwenda kupima DNA na matokeo yake ndoa nyingi zinavunjika sasa katika watoto sita unakuta wote ni wako au wakwako wawili na inauma zaidi pale unapokuta hakuna hata mtoto mmoja ambae ni wako.

Wengi wao hupata msongo wa mawazo hupelekea kujiua,kupata stroke,kudhuru wale watoto,kumdhuru mkewe n.k
Ukiona uko kwenye mahusiano Mungu amewajaalia watoto basi usije enda kupima DNA Lea watoto wote ni wako hao ndio watakubeba wewe Siku moja usiyoijua

Shika hilo kwakunikumbuka Mimi.
 
Uo ushauri ni kwa weak minded people like you.
Nikwambie tu kwanza mwanaum unatakiwa kuwa jasiri.. hii mitindo ya kufunika kombe mwanaharam apite ndio inawapoteza.
Nikihisi tu kuwa kuna dosari kati ya watoto wangu.. DNA itahusu sana. Sina muda wa kupoteza kabisa.

Nina kifua cha kubeba majibu, nina pesa ya kufanya vipimo. Tatizo liko wapi?

Ia kwa wale wenye roho nyepesi. Fuaten ushauri wa jamaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umemaliza kila kitu hapo.
Siongez kitu.

Mbona mwandiko tu unaonekana sio jasiri kabisa
 
Ni uendawazimu kukaa na watoto wa watu ,mm siwezi kuishi kwa mashaka kama ni kujua nijue mtoto siyo wangu alafu niishinaye lakni najua ukweli cyo wangu siyo kujipa hope kumbe nalea watoto wa watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uo ushauri ni kwa weak minded people like you.
Nikwambie tu kwanza mwanaum unatakiwa kuwa jasiri.. hii mitindo ya kufunika kombe mwanaharam apite ndio inawapoteza.
Nikihisi tu kuwa kuna dosari kati ya watoto wangu.. DNA itahusu sana. Sina muda wa kupoteza kabisa.

Nina kifua cha kubeba majibu, nina pesa ya kufanya vipimo. Tatizo liko wapi?

Ia kwa wale wenye roho nyepesi. Fuaten ushauri wa jamaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu, mi siwezi vumilia kabisa kuhusika na damu isiyo yangu ktk familia.

Hili jambo angewashauri wanaume wasio na uwezo wa kuzalisha.
 
Kwanza sidhani kama kuna mtu alienda kupima DNA akaambiwa mtoto si wako hata kama DNA inaonesha hivyo.Majibu sahihi hupewa tu kama kuna amri ya kufanya hivyo vipimo kutoka kwenye mamlaka kama za kiserikali zenye kuhitaji majibu hayo.Lakini mtu binafsi kubeba mtoto hadi kwa mkemia mkuu kupima kama mtoto ni wake ,sidhani kama atapewa jibu sahihi wakikuta mtoto si wake maana madhara ya jibu hasi huenda likasababisha madhara makubwa zaidi.Mfano ni NAY WA MITEGO alipombeba mtoto mchanga hadi kwa mkemia kufanya vipimo.Jaribu kuwaza angeambiwa mtoto si wake halafu yupo kwenye himaya yake
 
Hakuna kinachoshindikana mkemia anahongwa vizuri tu anatoa majibu ya kweli
 
Uo ushauri ni kwa weak minded people like you.
Nikwambie tu kwanza mwanaum unatakiwa kuwa jasiri.. hii mitindo ya kufunika kombe mwanaharam apite ndio inawapoteza.
Nikihisi tu kuwa kuna dosari kati ya watoto wangu.. DNA itahusu sana. Sina muda wa kupoteza kabisa.

Nina kifua cha kubeba majibu, nina pesa ya kufanya vipimo. Tatizo liko wapi?

Ia kwa wale wenye roho nyepesi. Fuaten ushauri wa jamaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Brother mbona unecatch feelings jaman....

am better here
 
Mahusiano yamekua yanajengeka kwa kasi sana na mengine yakibomoka kwa kasi sana kiasi kwamba mambo mengi huwa yanatokea.

Mahusiano hubomoka kwa sababu tofauti tofauti ikiwepo usaliti wa Mara moja au usaliti uliokubuhu kiasi kwamba wanamahusiano hubaki njia panda.

Mahusiano yanavyoendelea wengine hufanikiwa kupata mtoto au watoto lakini ndani ya mahusiano wakawa hawaaminiani kiasi kwamba wanachukua maamuzi yakwenda kupima DNA na matokeo yake ndoa nyingi zinavunjika sasa katika watoto sita unakuta wote ni wako au wakwako wawili na inauma zaidi pale unapokuta hakuna hata mtoto mmoja ambae ni wako.

Wengi wao hupata msongo wa mawazo hupelekea kujiua,kupata stroke,kudhuru wale watoto,kumdhuru mkewe n.k
Ukiona uko kwenye mahusiano Mungu amewajaalia watoto basi usije enda kupima DNA Lea watoto wote ni wako hao ndio watakubeba wewe Siku moja usiyoijua

Shika hilo kwakunikumbuka Mimi.
misemo ya kitanda hakizai haramu mimi inipishilie mbali kabisa, yaani mke afukunyue na mtoto nimlelee asee hiyo kwangu hapana tokea kabisa, hizi ni zarau, Mleta maada me nakupinga hadi kesho..!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom