Napenda kujua

Napenda kujua

pia inatibika kwa njia ya kawaida ila ni cost sana kuliko upasuaji
 
Je tezi dume inatibika kwa njia ya upasuaji? Msaada kwa mwenye uelewa
Kwa wanaume waliyo fikia umri zaidi 50... baadhi yao tezi huanza kuvimba hivyo kuongeza size yake, hapo husababisha kuziba mifereji ya mkojo na utokaji wa Wazungu(shahawa) kwa msukumo mmoja, ndipo hubakisha kidogo !!
Sasa wataalamu Wa Kifaransa wamekuja na tiba ya kutumia techologia ya kupunguza uvimbe bila upasuaji !!
Search google uone njia ipi unaweza afiki !!
Pole na hadhi njema upone haraka.
 
Asante sana mkuu
 
Nasubiri Michango ya WADAU imwagike kwa wingi
 
Back
Top Bottom