Swali jepesi kabisa kwa Wadada na Waume wa hapa MMU..... naomba mlijibu realistically..

data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
26,151
22,726
Swali lenyewe ni hili......

Wewe mdada unapokutana au mwanaume amekufuata anakuambia "sister NIMEKUELEWA"
Hivi huwa mnajiskiaje na je Jibu gani ni sahihi hapo!?

Kwa Wanaume... Unavyomwambia bidada umemuelewa... Hivi maana yake huwa ni nini hasa!??

Karibuni tushee
 
Mkuu Utamwambiaje umemuelewa wakati hajakwambia kitu? Au neno kuelewa lina maana gani hapa?

Swali lenyewe ni hili......

Wewe mdada unapokutana au mwanaume amekufuata anakuambia "sister NIMEKUELEWA"
Hivi huwa mnajiskiaje na je Jibu gani ni sahihi hapo!?

Kwa Wanaume... Unavyomwambia bidada umemuelewa... Hivi maana yake huwa ni nini hasa!??

Karibuni tushee
 
Hayo ni maneno ya vijana wa kisasa.Mimi.nilipendelea kuandika barua na kuchora picha ya moyo umechomwa mkuki katikati.Mara nyingine nilikuwa namfuata mlengwa na kumpa MANENO face to face..."Nene nkutogile sana.Nkupele silingi ya Mwinyi"...!Au ningemwambia..."bela segito,ngulonje ngwenda"..!Kush khabari!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
👍🏽

Duh
... Umetisha .

So sahivi huna unae muelewa!??
 
Back
Top Bottom