Habari za asubuh wana nzengo.
Ijumaa baada ya kutoka kazin,nilipita sehemu kupiga mbili tatu kabla sijarud nyumban.
Ikatokea nikakaa meza moja,ilikuwa ina kinywaji Ila hakijafunguliwa,akaja...
Nimekuta hiii tahadhari twetter
" Vijana wenzangu umalaya ni gharama"
Vijana wengi wanatumia mitandao kupata mahusiano mapya ya kingono ni kundi dogo sana la vijana wanaojua kuwa Umalaya ni...
Salamu
Kuna hii hali inanitokea mara kwa mara. Sijui ni mkosi, sijui ni pepo sijui ninini?
Nikimtongoza demu yoyote na kuanza naye mahusiano , baadaye ni lazima ije itokee kupendwa zaidi na...
Salute..
Wanaume:
Kuna wakati unaweza kukutana na mwanamke fulani kufanya tendo lakini uume ukashindwa kufanya kazi kabisa na unajua kabisa huna matatizo ya Nguvu za kiume. Ujue basi dem kategwa...
Najua mnaweza msisikie ila ngoja niseme tu,
Nimekua na mahusiano na bint ni takriban miez saba, nimejitahid kumfanya awe free sana kuongea kila anachojisikia na kufunguka. Kikweli historia yake...
Aiseee wanawake ni Noma kuna njemba moja hapa ofisini kwangu kwenye kiepe inatongoza demu wa mtu, na demu kashalainika kahaidi kesho atatatoa mchezo,
Demu mwenyewe mi namjua ni mke wa teacher...
Ukiambiwa kuwa ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni usidhani Watu huwa wanatania bali amini hivyo. Wanaume wa Kikorea wameendelea kutia ' Fora ' huko Kwao baada ya Wao sasa kutumia muda Wao...
Dah,leo katika pirika zangu mijini humo, nimekutana na couple moja wanajidai sana,utadhani wamejua kuwa kwa sasa mwenzangu yupo mbali,mwana kavimba mbaya mpenzi wangu popote ulipo kiukweli...
Ivi mnatoa wapi ujasiri wa kufunga pingu za maisha na mtu uliejuana nae kupitia social network, mbaya zaid mwanzon mnaficha ukwel mkigombana mnaweka mambo hadharan [emoji24]
Ni clip flan ambayo ina maneno flani ya kusisimua sana kuhusu mapenzi na imetamkwa kwa lugha ya kiingereza
Huwa inaanza hivi:-
Its hard to love someone and not to be loved and return but what...
Habari zenu wana JF
Hapa nimejaribu kuwapitishia vipande vichache kwa ufupi.. natumaini nitaeleweka
Kuna binti flani nimekuwa naye kwenye mahusiano kwa muda kama wa wiki mbili sasa. Nakumbuka...
Hizi ni baadhi ya video zinazo trend kwasasa huko WhatsApp
Moja inaonyesha akikojoa kwenye chombo anachotumia kupikia, na video nyingine inaonyesha akiweka kimba kwenye mfuko uliobeba viungo vya...
Kuna Mtu kaniambia kuwa amini nisiamini 95% ya Mabinti waliofeli Kidato cha Nne kwa majibu yaliyotolewa rasmi wamesababishiwa na kuwa Kimahusiano na Wanaume wakubwa na ' Wadanganyifu ' sana (...
Ukitaka mpenzi hapa mjini mwishowe Ni wewe kuhudumia.Anaweza akawa anakaa kwao lakini Kuna mambo utafanya tayari itakuwa Ni huduma.mpenzi amekuomba buku au buku mbili utampa na vitu vidogo vidogo...
Wazazi wengi wamekuwa wakijiskia faraja na furaha pindi kijana wao wa kiume au wa kike anapooa au kuolewa misingi hii imeishi tangu enzi na enzi na imeambatana na mizizi ya kiroho yenye...
.....Kwamba sababu Kubwa ya Wazungu wengi Kuzaliwa na ' Akili ' au kuwa na ' Akili ' nyingi kunatokana na ile tabia yao kuwabeba Watoto Wao kwa mbele ( Vifuani ) huku wakiwa wanawaona tofauti na...
Wanajamvi habari za majukumu?
Nina mambo kadhaa yanayonisumbua akili yangu na kuninyima amani sana. Kwa wale wanaokumbuka tatizo nilopata la aliyekuwa mume wangu kumpa mimba mdogo wangu, hichi...
UJUMBE KUTOKA HOSPITALI KUU YA TAIFA
Tafadhali mjulishe mkeo kuhusiana na hili, , Hii ni tahdhari muhimu kutoka wataalamu wa afya [ LUTH ] kwa wanawake wote wawe watoto wachanga, wasichana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.