JE ? Unaweza kufanya mapenzi na mwanamke mwenye mimba haliyakuwa mimba si yako.


H sanny

H sanny

Member
Joined
May 25, 2018
Messages
47
Likes
54
Points
25
H sanny

H sanny

Member
Joined May 25, 2018
47 54 25
Habari ndugu zangu wa Jf .
Naomb niende moja kwa moja kwenye dhumuni la kutuma uzi huu,
Tar. ...../11/..... nilimtongoza mwanamke aliyekuwa akikaa mtaa wa pili . Mara ya kwanza alikuwa anagoma lakin baadae Alinikubalia tukaanzisha mausiano, ilikuwa kila siku lazima tuonane na tukae zaidi ya masaa matatu tukizungumza.
Baada ya wiki mbili akaniambia mr........ mwenzako ninaujauzito na baba mwenye mtoto amenikana, nikamuuliza huo ujauzito una mda gani akaniambia una miezi miwili, nikamuuliza tena dhumuni la kuniambia hili swala wakati huu ni nn, akaniambia anaitaji nimpeleke clinic kwa sabab bila ya baba awezi kupokelewa ,nikamuuliza tena kwann ukuniambia mapema, akanijibu aliogopa nitamuacha, kwa uzuri ya yule mwanamke nilihisi ananipima imani.
Lakini kesho yake nikampeleka clinic na kwel alikuwa na mimba, tukapimwa kila kitu kikawa fresh na kweny swala la jina la baba mtot aliniomba nisiandike jina langu na nilifanya kama atakavyo.
Tukawa tunaendelea na mausiano kama kawaida lakini nilimwambia kuwa awaze kuhus mtot na siyo mapenz nashukur alinielewa, swala la kukutana kila cku likapungua kidogo ikawa ni mara tatu kwa wiki .
Sas swala linakuja hivi anaomba awe anafanya mapenzi na mimi akidau kuwa nesi alimwambia awe anafanya mapenzi asikae kizembe.
Nimemuomba nitafakari sijui nimpe jibu gani naogop kufany mapenz n yeye ..
Ndug zang naomb mnisaidie kwa mawazo ..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leonardchama7

Leonardchama7

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2018
Messages
754
Likes
637
Points
180
Leonardchama7

Leonardchama7

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2018
754 637 180
Kama mlipima afya na hakukuwa na tatizo kati yenu wewe kula mzigo kiroho safi wala hakuna tatizo japo,na kuhusu nesi kumwambia pia nakubaliana nae kuwa ni kweli inashauriwa hivyo ili kumrahishia yeye siku ya kujifungua,kwa maana ya kupanua njia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
farkhina

farkhina

Platinum Member
Joined
Mar 14, 2012
Messages
14,131
Likes
5,537
Points
280
farkhina

farkhina

Platinum Member
Joined Mar 14, 2012
14,131 5,537 280
Kuna wanawake hawajipendi.

We Baba mtoto kashakukana si ukae ujitathmini kwanza.ndio kwanza unatafuta upuuzi mwengine.

Akili kichwani kwako fikiria makini usije kujitaftia matatizo bure.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
blackcornshman

blackcornshman

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Messages
1,265
Likes
1,079
Points
280
blackcornshman

blackcornshman

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2016
1,265 1,079 280
Issue ya kujibebesha ubaba sikubaluani nayo,kumbandua akiwa na ujauzito wa mtu mwingine bandua tu, mimi naitaga kupalilia zao likiota mpandaji orijino atavuna kwa hiyo palilia.
 
Nokia83

Nokia83

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Messages
22,574
Likes
34,867
Points
280
Nokia83

Nokia83

JF-Expert Member
Joined Jan 16, 2014
22,574 34,867 280
Kwahiyo tatizo niww kujua kuwa ana mimba?ila kabla hujajua ulikuwa unanyonya mpk kipapa vzr tu.


Mungu akusamehe
 
De Facto List

De Facto List

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2018
Messages
208
Likes
732
Points
180
De Facto List

De Facto List

JF-Expert Member
Joined Dec 16, 2018
208 732 180
Kila siku mnakutana kwa zaidi ya masaa ya matatu..leo unaomba ushauri ulivyo na haraka ya kwenda kula mavitunguu swaumu na hiyo mimba unatuandikia 'cku'..crap!
 
mchecheto

mchecheto

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2014
Messages
1,354
Likes
986
Points
280
mchecheto

mchecheto

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2014
1,354 986 280
wewe ni jinsia gani,maana zipo jinsia tatu..
 
farkhina

farkhina

Platinum Member
Joined
Mar 14, 2012
Messages
14,131
Likes
5,537
Points
280
farkhina

farkhina

Platinum Member
Joined Mar 14, 2012
14,131 5,537 280
Ukitaka kumsaidia ili atimize masharti ya nesi kumrahisishia kujifungua salama huo ni uamuzi wako ila uwe tayari na kuombwa pesa za diapers na matumizi mengine.
Kurahisisha njia ya kujifungua amshauri tu ale vizuri Na mazoezi.

Sio mara zote kufanya hilo jambo ndio kujifungua salama.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee Kigogo

Mzee Kigogo

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Messages
1,511
Likes
1,797
Points
280
Mzee Kigogo

Mzee Kigogo

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2018
1,511 1,797 280
Kama uliamua kumsaidia hadi ukampeleka clinic sioni ubaya kumsaidia kupanua njia. Tena ikiwezekana piga kavu kabisa ili ufaidi vizuri lile joto
 

Forum statistics

Threads 1,250,497
Members 481,367
Posts 29,735,645