Msaada tafadhari ndugu zangu;

Msaada tafadhari ndugu zangu;

kanchibay

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2019
Posts
671
Reaction score
692
Habari za jumapili na week-end kwa ujumla nduguzangu;

Nilishafanya research lakini nahisi bado sijapata majibu yaliyo kamilika kutoka kwa subset nulizo zihusisha kwenye tafiti yangu, maana hataivyo majibu yalikosa supportive facts.

Lets move on hadi kwenye point kuu

Hivi nijinsia ipi katika mahusiano yenye mapenzi yakweli/yadhati
Yan kwa maneno mengine naweza kusema hiviii:
NI JINSIA IPI KATI YA KE&ME YENYE KUMAANISHA KATIKA MAHUSIANO??

Msaada tafadhari ili niweze kukamilisha tafti yangu, naa itapendeza iwapo majibu yakiambatanishwa na supportive facts.


Nawasilisha[emoji120][emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mdogo wangu nimekuja mbio nikajua una tatizo kubwa aisee,Hakunaga Mapenzi Yale kupendana ni Zamani huko kwa Sasa kila mtu msanii.
 
Mdogo wangu nimekuja mbio nikajua una tatizo kubwa aisee,Hakunaga Mapenzi Yale kupendana ni Zamani huko kwa Sasa kila mtu msanii.
[emoji23][emoji23]hapana bro sina shida bali nikujaribu kufanya utafiti kupitia experiences za raia mbali mbali ili kuepuka bias,,,,

Ila nashkuru pia maana nimekuelewa kiundani zaid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23]hapana bro sina shida bali nikujaribu kufanya utafiti kupitia experiences za raia mbali mbali ili kuepuka bias,,,,

Ila nashkuru pia maana nimekuelewa kiundani zaid

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke huwa anapenda kwanza kabla ya kuingia kwenye mahusiano, Mwanaume anatamani hapo jibu ni kwamba Wanaume ni tatizo.
 
Back
Top Bottom