Kwanini kwa sasa uchumba huwa haudumu

Kwanini kwa sasa uchumba huwa haudumu

Noel mbangala

Member
Joined
Jan 24, 2019
Posts
55
Reaction score
41
Jamani naomba ushaur wenu maana utafit unaonyesha kuw sikuhiz uchumba ni wa kudanganyana na si wa kwel ..Maana nalisem hili kwa kuw limesha nitokea kwa mwanamke niliyempenda Sana'a na mwisho wa siku nikastuka ana mahusiano na MTU mwingine ,so mm alikiw ananidanganya? Na kwann anidanganye asinambie ukwel??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfano angekwambia ukweli mapema, Angedanga wapi?
 
Jamani naomba ushaur wenu maana utafit unaonyesha kuw sikuhiz uchumba ni wa kudanganyana na si wa kwel ..Maana nalisem hili kwa kuw limesha nitokea kwa mwanamke niliyempenda Sana'a na mwisho wa siku nikastuka ana mahusiano na MTU mwingine ,so mm alikiw ananidanganya? Na kwann anidanganye asinambie ukwel??

Sent using Jamii Forums mobile app
TATIZO NJAA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye nia njema anifundishe jinsi ya kufollow id humu..sory kwa kua nje ya mada
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom