Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu Kuna kasumba 1 tunayo vijana ama wanaume, kwa wale waliosoma hawataki kuoa waliosoma wenzao Maana mtiti wake kwenye ndoa sio wa nchi hii. Nami bora nijitenge mapema kabla sijaingia mkenge...
7 Reactions
131 Replies
10K Views
Yaani asilimia kubwa ya wanaume wanakuwa hawataki wanawake ambao hawana kazi. Wengi watatulia na walio na ramani. Yupo tayari kumvumilia dent alioko shule kuliko mwanamke asiye na kazi. Mara...
11 Reactions
257 Replies
19K Views
Tusiokuwa na wenzetu kwenye mahusiano hadi muda huu tunagaragara tu kitandani,hakuna jipya,usingizi hakuna,basi tabu tupu.!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mimi nina mke na mtoto mmoja. Hapa jirani ninapoishi kuna dada mmoja mkali yaani mzuri sana. Sasa Kuna siku nilikutana naye dukani jioni saa moja nikamuomba namba akanipa. Baada ya kupeana namba...
6 Reactions
100 Replies
13K Views
Habari wakuu nina tatizo huwa likinipa shida sana hasa nikiwa matembezini akitokea mwanamke nyuma yangu nashindwa kumgeuzia shingo ,hata kama ni wakawaida au tunakaa nae mtaa mmoja,yaani nakosa...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Sijui wengine wanawezaje kuacha uzinzi, me nimejaribu bila mafanikio.. Tangu nasoma secondary nlikuwa siwezi hata kufanya mtihani bila kuwa na ahadi na msichana nadeki tu..tatizo limekuwa kubwa...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni njia zipi au dawa ambazo anaweza kutumia mtu anaesumbuliwa na tatizo la kutapika nyongo mara kwa mara...msaada tafadhali
0 Reactions
6 Replies
987 Views
Bwana mmoja Ronald Mutaka ( 38 ) Raia wa nchini Uganda ameua kutoendelea Kuvumilia maumivu ya Kutukuka aliyonayo baada ya Kujigundua kuwa Yeye ni Mgumba ( hawezi Kuzalisha / Mgongesha Besela ) na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za jioni wa jf,kwakweli wengi mmetoa ushauri wenu japo wengine mmetumia maneno makali pamoja na yote ujumbe umefika,Asanten wote mlioguswa Mungu awabariki nawapenda. kiukweli leo nimeitumia...
2 Reactions
88 Replies
9K Views
Hivi ni kweli kuna mtu amempata mwenza sahihi jf hadi kufunga nae ndoa?.. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
10 Replies
994 Views
Wanaume siku hizi mmekua mbugila sana,mmekua na uwezo mdogo sana wakuchakata na kupembua mambo kwenye bongo zenu,uwezo wakufikiri kwa wanaume wa africa umepungua sana. Mwanaume unashindwa...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Msaada najua vipo vingi vikubwa na vidogo vidogo vinavotoa ishara mpenzi muongo ktk mahusiano mf matumiz ya siri siri ya simu nk ,wadau fungukeni
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Heshima kwenu wakuu.Mimi ni kijana wa kiume na nina miaka 30. Katika maisha yangu nilipitia changamoto nyingi za mapenzi,nilishawahi kudate na mdada fulani lakini aliniacha sababu sikua msomi...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Mpenz, Asante kwa kunibembeleza, nimekuomba mchuzi kidogo umenijazia upawa..... Nakupenda sana Dadii, maneno ya huu wimbo yanabeba ujumbe mzima wa kubembeleza. Nywila wangu, utamu wangu, 🥰🥰🥰...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna habari kutoka kwa wakubwa zetu nimezisikia kwamba kamwe katika mahusiano ya ndoa usiruhusu mkeo afahamu njia zako zote unazopita. Yaani mfano mshahara wako kwamba asiujue wote ili upate...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Wadau habari za siku!! Nimeona nitoe kisa hiki nilichopata kusimuliwa na kukishuhudia miaka ya 2016 UDSM. Kulikuwa na bi mdada kutokea maeneo ya kanda ya ziwa alikuwa ameolewa na kipindi hicho...
1 Reactions
68 Replies
16K Views
Naamini kuna wanaume washapigwa sana pesa na wapo ambao wanaendelea kupigwa kwa ujanja ujanja wa kina dada wa mujini. Sent using Jamii Forums mobile app
4 Reactions
111 Replies
10K Views
Mwanaume ameonywa sana kwamba awe makini na mwanamke kwa sababu asipokuwa makini mwishoni humezwa.kwa hiyo mwanaume yoyote anayefanya mapenzi na mtu ambaye siye mke wake huyo anafananishwa na mtu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndio baadhi ya marafiki zetu ni wanafiki. Wengi hawana ujasiri wa kuwa wawazi kwa wenzao badala yakewanakuchimba pembeni. Wanatuficha ukweli. Wengi sio sincere wala honest. Majibu yao mengi yapo...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wanajukwaa habari za weekend? I hope mpo poa. Me leo nataka tuwekane sawa kuhusu hiyo mitandao miwili,kuna kidemu nilikikuta eskimi nikakichokoza "mambo" kakajibu "poa" ,pande zipi "mikocheni"...
2 Reactions
37 Replies
11K Views
Back
Top Bottom