Kuna wakati uwa nawahurumia sana mama zangu,hasa nikiona anafunga ndoa.,hiyo ndoa unayoisubiri kwa hamu ndio gereza lako hasa km hujapata mtu sahihi.
Wanawake wengi kabla hawajaolewa hawajui km...
Wacha watoto wakike wanywe pombe kama BABA zao...Maana kuna watoto wakiume wambea kama MAMA zao...Akuchafuae kwa uwongo bila sababu za msingi kaa kinya M,mungu atakujibia kwa haki..[emoji1614]...
Jamaa alipata matatizo makubwa kazini, akampigia simu mama yake na kuanza kumuelekezea, Mama yake alisikitika sana hadi akakosa amani,
Baada ya muda baba yake akampigia simu, akamuuliza...
Hapa mjini midume kibao inaendesha nagari inakuwaje mdada mrembo unapigwa jua na mvua? Umeshindwa hata kulegeza jicho kwa midume ili ukaitumikisha ? Ikawa inakupeleka unakotaka.
Hivi unatembea...
Wakuu habari.
Nimeona niwashirikishe wenzangu wote ambao tunapenda watoto wazuri ila wenyewe hawapendeki kwa sababu wanaangalia pesa kuliko kitu kingine.
Sikuizi mademu sio kama zamani ambapo...
Habari zenu wadau,mimi ni binti nna marafiki zangu wawaili mmoja wa kishua sana mimi na mwingine ni maisha ya kati tu,kwenye urafiki wa watu watatu lazima kuna yule mmoja ye yupo nyumanyuma tu...
Habari za muda huu wanaJF.
Niende kwenye mada kuna jamaa yangu wa karibu ameulizwa na demu wake kuwa huwa anavaa bukta yake mara ngapi hadi kuifua ? Baada y jamaa kuulizwa swali akajibu inategemea...
Hapa nipo nje ya nyumba ya ibada baada ya ibada ya siku leo. Kwa mbali kidogo naskia watu wazima (50 -60 yrs ) wanazungumza. Wanazungumza kuhusu ndoa, wanasema "ndoa ni pasua kichwa", ndoa ni...
Habari za jumapili na week-end kwa ujumla nduguzangu;
Nilishafanya research lakini nahisi bado sijapata majibu yaliyo kamilika kutoka kwa subset nulizo zihusisha kwenye tafiti yangu, maana...
Mahusiano yamekua yanajengeka kwa kasi sana na mengine yakibomoka kwa kasi sana kiasi kwamba mambo mengi huwa yanatokea.
Mahusiano hubomoka kwa sababu tofauti tofauti ikiwepo usaliti wa Mara...
Siku zote nikiwa kwenye mahusiano, nikifanya mapenzi na demu wangu kama mara 3 tu hivi namchoka kabisa, hamu yote inaniisha kinachoendelea hapo labda hadi yeye atake ila sio mimi kutaka kufanya...
Swali lenyewe ni hili......
Wewe mdada unapokutana au mwanaume amekufuata anakuambia "sister NIMEKUELEWA"
Hivi huwa mnajiskiaje na je Jibu gani ni sahihi hapo!?
Kwa Wanaume... Unavyomwambia...
Tuwe naye katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mama mzazi... Yuko safarini kuelekea Bukoba kwa mazishi.... Neno lako la faraja litampa nguvu na kumtia moyo
Jr[emoji769]
Wadau habari za wikiendi?
Nimeona nianzishe "UZI" huu wa maandalizi muhimu ya harusi na send off ili tuweze kusaidia asilimia kubwa ya wale ambao wanahitaji la kuja kufanya shughuli kama hzo kwa...
Mimi nina miaka 22 nina mpenzi wangu ambaye nampenda Sana tumeanzisha mahusiano hivi karibuni ni mzuri sana lakini kinachonichosha ni mvivu kwenye sita kwa sita pia umbo lake linasababisha tutumie...
MAANDIKO YALIPOSEMA "Enyi Wanaume Ishini na wake zenu kwa AKILI" Mungu alikuwa anajua anachosema. Kama huna akili Mwanamke atakukoroga maisha yako yote na utaishia kusema "Women are so...
Kwanza unapaswa kutambua nafasi ya saikolojia katika kufikia utamu halisi unaotamaniwa na kila mmoja. Kumekuwa na malalmiko mengi sana toka kwa akina dada juu ya kutofikishwa wawapo katika chakula...
habari za wakati huu wana jukwaa pendwa,kama heading inavyosemeka hapo juu,
sifa zangu
maji ya kunde
sio mnene wala mwembamba
nina kipato cha wastani kama laki nne hivi
nimepanga chumba na...
Jamani naomba ushaur wenu maana utafit unaonyesha kuw sikuhiz uchumba ni wa kudanganyana na si wa kwel ..Maana nalisem hili kwa kuw limesha nitokea kwa mwanamke niliyempenda Sana'a na mwisho wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.