Akili Pesa
JF-Expert Member
- Jun 18, 2014
- 617
- 854
Wadau habari za wikiendi?
Nimeona nianzishe "UZI" huu wa maandalizi muhimu ya harusi na send off ili tuweze kusaidia asilimia kubwa ya wale ambao wanahitaji la kuja kufanya shughuli kama hzo kwa baadae au wapo katika kipindi cha kujiandaa kutekeleza haya masuala.
Nimeona kuna umuhimu wa kutoa msaada wa mawazo na tajiriba tuliopitia masuala kama haya ili tuwaepushe watu wengi hasa vijana wetu katika stress wakati wa maandalizi maana wengi mnafahamu inakuwa ni zoezi gumu sana ndio maana wengi huishia kulia kwa furaha akiwa pale ukumbini.
Naomba sasa tushirikishane masuala muhimu ya kuzingatia wakati unafikiria kuandaa shughuli yako kama ni harusi(hasa wakaka) au send off (kwa wadada) ili uwe kama sehemu ya Tips flan hivi ambazo mtu anaweza kupata elimu ya kumuongoza.
Nimekuja kugundua hili ni tatizo kwa sasa asilimia kubwa mtu anakuwa hajui aanzie wapi na kutokana na hilo ndio maana vijana wengi huishia kubebana tu kuwekana ndani bila kufunga ndoa. Hivyo tuwasaidie hawa vijana wasijkute wanapatwa na stress katika kipindi hiki.
Naomba kuwasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app