Huyu Mzee baba hapendi ujinga kabisa

Huyu Mzee baba hapendi ujinga kabisa

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,729
Reaction score
8,803
Jamaa alipata matatizo makubwa kazini, akampigia simu mama yake na kuanza kumuelekezea, Mama yake alisikitika sana hadi akakosa amani,

Baada ya muda baba yake akampigia simu, akamuuliza "umemuambia mkeo haya matatizo?" akajibu sijamwambia si unajua wanawake mioyo yao

Baba yake akamwambia
"sasa kama umeshindwa kuwambia mkeo, kwa nini unamwambia mke wangu... Acha ujinga dogo, tusiharibiane Siku."

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG-20190123-WA0005.jpeg
    IMG-20190123-WA0005.jpeg
    14.8 KB · Views: 39
Dogo hana adabu.

Hamwambii mkewe kisa mioyo ya wanawake.

Kwahiyo baba yake anaishi na kidume?
 
Back
Top Bottom