Mwanamke gereza lako liko kwenye ndoa

Mwanamke gereza lako liko kwenye ndoa

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
2,734
Reaction score
3,033
Kuna wakati uwa nawahurumia sana mama zangu,hasa nikiona anafunga ndoa.,hiyo ndoa unayoisubiri kwa hamu ndio gereza lako hasa km hujapata mtu sahihi.

Wanawake wengi kabla hawajaolewa hawajui km ndoa ndio gereza lao..kwa mujibu wa vitabu vya dini kuoa ni jambo la sheria,kuoa ni nusu ya dini, kuoa ni ibada.

Ila sisi wanaume tunaibadili ndoa kuwa gereza kwa wanawake..wanawake wengi punde wakifunga ndoa wanaingia kwenye majuto sana..

Wanakosa Uhuru wa maisha yao,hawana amani..wanaongozwa km remote..inafikia wakati km anakipato chake akitumii kwa amani.

Nawashauri wanadada kuwa makini sana unapotaka kuolewa km haujapata MTU sahihi ni bora ukae tu.

Unakuta binti kalelewa vizuri sana anakuja kuolewa na jitu lilevi na Malaya,lichawi na katili na careless pia lichoyo.ni mateso miaka yote..

Sisi wanaume tunajifanya tuko wakamilifu100% kitu ambacho si kweli kabisa

Binti gereza lako liko kwenye ndoa kuwa makini...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Edit hapo kwenye "sisi wanaume" weka 'mimi' usinijumlishe kwenye wingi ambao sipo,najiamini nipo sahihi kwa kila ninalofanya kwenye ndoa kama mapungufu unayo wewe ni wewe usituingize tusiohusika.

Wewe ni wale dizain mke anakosea msamaha unaomba wewe magoti unapiga wewe na machozi unamwaga.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Kuna ukweli kwa % nyingi tu. Ndoa nyingi ni gereza, wanawake wamo kwasababu ya watoto tu.
 
Edit hapo kwenye "sisi wanaume" weka 'mimi' usinijumlishe kwenye wingi ambao sipo,najiamini nipo sahihi kwa kila ninalofanya kwenye ndoa kama mapungufu unayo wewe ni wewe usituingize tusiohusika.

Wewe ni wale dizain mke anakosea msamaha unaomba wewe magoti unapiga wewe na machozi unamwaga.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Aiseeee

Amesema ukweli kabisaaa ninyi wanaume huwa mnajikuta mko so perfect, hamna kasoro yaani kasoro wanazo wanawake tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom