Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Malumbano ya hoja;; je, kuoa kabla hujafanikiwa ki maisha je, hii huchangia kua maskini, Daima? Tililika mtanzania
2 Reactions
85 Replies
7K Views
Shoga wakati mwingine huwa naongea sana hadi koo lanikauka, naomba kwa leo niishie hapa! Kwa wewe ambaye upo kwenye uhusiano nikutakie Valentine’s Day njema! Kaa na mchumba… WEREEE reeee kama...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna mshikaj kaniambia mke wake kajifungua ana nwezi tu lakini juzi kati alichepuka...anaomba kujua itaadhiri ukuaji wa mtoto au maana mchepuko wake unamsumbua Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
20 Replies
4K Views
HIVI WAPO WAPI SIKU HIZI WANAWAKE WENYE SIFA HIZI? . 1.Anaekuomba msamaha wakati hajakufanyia chochote kibaya. . . 2.Yule anaelia sababu anakupenda au kukukumbuka. . . 3. Anaejaribu kukurudisha...
5 Reactions
44 Replies
4K Views
Waswahili wanasema Mtu akipata Pesa ndo utamjua vizuri, ukipata matatizo ndo utamjua mwenzi wako vizuri lakini pia mwenzi wako akipata matatizo ndo unapata fursa ya kumjua vizuri kwa namna...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Mwenzenu nina shida moja sipatani kabisa na hizi chupi za chandarua, demu hata avutie vipi nikishamuona kavaa hiii hata asu mbishi analala doro mazima
2 Reactions
100 Replies
24K Views
Wanajukwaa... Nimefikiri kuanzisha uzi huu ili uwe uwanja wa kuwapata wale tunaowatafuta kwa muda mrefu tena kwa bidii kubwa bila mafanikio. Ninaamini kuwa dunia ni kijiji kwasasa hasa kwa kuwepo...
1 Reactions
8 Replies
991 Views
Wengi wetu tunapoanza mahusiano mapya tunajua kupima HIV tu.Ila kuna magonjwa hatari sana kama homa ya ini. Ni ugonjwa unaonezwa kama HIV. Huharibu Ini kabisa.Tukumbuke kupima na huu pia.
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Usiseme nikioa ntaachana vimada,kamwee unajidanganya.kama una madem watano na bado unawatamani wengine hivi ukiwa na mwanamke mmoja atakutosha kweli? Hapo unajidanganya sana kaka mkubwa kama...
17 Reactions
103 Replies
8K Views
Wanaume wa Leo mkoje, mbona mnalalama sana? Nyuzi nyingi mno za kulalamika mnaandika, kwan mnataka mfanyiwe nn na Wanawake ili muache kulialia? Mnaboa kishenzi, Km vipi jibadilisheni muanze...
4 Reactions
53 Replies
3K Views
SIBISHI TENA! ZAMANI nilikuwa mbishi, ila sasa nasadiki. Ubishi tena sitaki. Wapendanao wakiishi muda mrefu huanza kufanana. Namuona bosi kubwa wa IPP, The Don Reggie na Da Jackie sasa hivi...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Nimeanini kumbe Mapenzi yana nguvu ya ajabu sana "Mapenzi yana uchawi ndani yake" Baada ya kuwa na Mpenzi mmoja kwa muda mrefu alikua ana nyodo sana akiamini ameniteka mateka na ananipelekesha...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Dadii this is for you...... Only I want is you....you are my everything, that’s all I need. Let’s dance the Nigerian dance, shaking the shoulders.... My love to this man called Dadii is...
7 Reactions
141 Replies
9K Views
Huyu mtu aliibuka na mada hapa na kuwatuhumu Daktari pamoja na mchungaji kumsingizia ukimwi, kumbe ni muongo na alishaoa. Mada zinaonyesha ni mhuni na mtu wa kusingizia huyo anajiita MAGALLAH R...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Mu wazima nyote? Niende straight to point: Awe na miaka kuanzia 18-25, sitojali dini,rangi wala kabila. NB: Nataka wa kuzaa nae tu sina time na kuoa. Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
40 Replies
5K Views
Valentine ! kila saa valentine! inamana hamna vitu vingine vya maana vya kuzungumzia mwezi huu zaidi ya huo upumbavu wenu wa valentine? mnachochea mapenzi tu ambayo kibongobono hatuna. yani kama...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Inasemekana mapenzi yapo Tanga. Kigogo mmoja marehemu (R.I.P) alinihadithia "Jamaa mmoja alienda Tanga kikazi kama mwalimu,akapanga chumba,akaelewana na mzee mwenye nyumba, jamaa kama ticha...
6 Reactions
135 Replies
55K Views
Kwa kweli inasikitisha kuona wanaume wa Dar wamewashindwa hawa walimbwende, maana ni warembo wanapitia mambo mazito ya kupigania maslahi ya watu. Kwakweli naomba muwasaidie kupunguza frastesheni...
2 Reactions
64 Replies
10K Views
Shikamooni Mbagala na nimewapendeni bure kwani mmetujengea Nyumba za Kulala Wageni ( Guest House / Lodge ) kiasi kwamba hata mwenye Mke au Demu mpaka akija ' Kuwafumania ' huko basi kafanya Kazi...
-1 Reactions
16 Replies
7K Views
Salaam wakuu.. Toka mwaka uanze sijadondosha thread hapa, naomba ruhusa yenu nitiririke kidogo. Na hii naomba akina dada mchangie kwa sana ili nipate kujua ugonjwa wenu unasababishwa na nini...
7 Reactions
182 Replies
10K Views
Back
Top Bottom