Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,368
Inasemekana mapenzi yapo Tanga.
Kigogo mmoja marehemu (R.I.P) alinihadithia "Jamaa mmoja alienda Tanga kikazi kama mwalimu,akapanga chumba,akaelewana na mzee mwenye nyumba, jamaa kama ticha asubuhi anawahi darasani, ila kabla hajaamka ile anaswaki anashangaa kuletewa chai na binti wa mzee, kama kawaida jamaa akazoea kupewa chai ya kila siku asubuhi, Mara anafuliwa nguo, wakaendelea jamaa anachemshiwa maji ya kuoga, Mara dogo kazamia chumbani, jamaa akadata akamtia binti mimba, jamaa akashtuka mzee atamind, mzee akamfuata kijana,"nataka niwaachie hii eneo chukueni kodi we na binti yangu muwe mnanitumia kiasi,ila nataka niende kijijini kule nijengeee nyumba ya bati nina eneo huko,jamaa akamnunulia mzee bati, mzee yupo kijijini anaenjoy, jamaa kaoa bila kujua kamjengea mzee nyumba.
Hiyo story niliyopewa.
Rafiki yangu tukiwa chuo alikuwa na hamasa ya kusoma,karibia tunamaliza akakutana na mwanamke wa kitanga,akaniambia viol naacha chuo nimedata na mapenzi,nimekutana na Zai naacha chuo,kaacha chuo kaenda kwa mtanga.
Bwana Misosi kwenye wimbo wake anasema.
"Ndo maana Mwinjuma (mumini)katoka Dar kaja kuoa Tanga,........ukija tanga utajenga mapenzi si limbwata.
Wenye experince na watanga mtuambie mnadatishwaje?
Je umefeel kitu tofauti kutoka kwenye mapenzi ya kitanga kuliko mapenzi uliyowahi?
Yule aliyesema mapenzi yapo mbeya acha kuzingua.