SIBISHI TENA!

SIBISHI TENA!

Tee Bag

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
7,220
Reaction score
5,626
SIBISHI TENA!

ZAMANI nilikuwa mbishi, ila sasa nasadiki. Ubishi tena sitaki. Wapendanao wakiishi muda mrefu huanza kufanana. Namuona bosi kubwa wa IPP, The Don Reggie na Da Jackie sasa hivi wanafanana, wanarandana, wanashabihiana, wana mwonekano saresare kama mapacha. Wanapendeza, wanawakawaka.

Ushauri kwa wazee wenzangu; Tukitaka tujikute majanki ndoa na majanki lazima zihusike. Ukitaka uzeeke fasta kabla ya umri wako oa mzee, teh teh teh!

Just imagine, hicho kipensi cha Da Jackie kitingwe na Bi Hindu! Hekima inakataa kabisa. Bi Mkubwa kujifanya binti ni kichekesho kama sio kituko. Ila babu fulani kujityuni ujana ili ashabihiane mrembo wake mbichi, naona inawezekana. Unataka mfano gani sasa? Don Reggie apendeze kwa kipensi cha Dogo Janja ndio muamini? Acheni hizo!

Ushuhuda; babu kufunga ndoa na mrembo mbichi inapunguza uzee, inaambukiza ujana. And I think inaongeze siku za kuishi.

Anyway, tusikuze mambo bure.

Ndimi Luqman MALOTO

FB_IMG_1549967826229.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Subiria mapovu kutoka kwa mabibi

View attachment 1020603

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wahenga walisema "Fainali uzeeni" Namuona mzee Mengi Akichukua kombe lake baada ya kushinda fainali[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

3x² + 5 + 4x³ - x² + 2x³ + 9
 
[emoji7][emoji7]na mimi naitaji nioe mchawi ili aniambukize uchawi..!! maana tangu nikue hadi hv leo nasikiaga uchawi-uchawi hata sijawahi kuuona, sasa naitaji kuambukizwa huu uchawi kwa maana naweza kufa pasipo kuuona, maana najiona naendekeza kuwa na mahusiano na wadada warokole tu daily.. wadada wachawi karibuni PM.[emoji126][emoji126]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo bulaya sijawahi kuelewa unachoandika
Kama hapo sijaelewa point yako ni ipi?
umesema hata huyu dada ana moyo(mama mengi)

Nami nimedai kuwa ulichosema ni sawa, kwa maana huyu mama kilichompeleka hapo ni pesa kama si pesa basi asingevumilia, hivyo akishindwa kupata alichokifuata lazma achunguwzwe maana pesa ipo na kwa kwann aikoswe, basi atakuwa ni mhujum.

Lakini inawezekana kapenda kweli
 
Kujichosha tu!!!

Tupieni na picha za dokta Slaa
 
Back
Top Bottom