Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Tuna mahusiano ya zaidi ya miezi nane.leo nikamwambia ninunulie kifurushi kupitia simu yako kwa kuwa me nadaiwa na tigo nilikopaga tigo niwezeshe.si ndo ikafika ile sehemu ya kuandika namba eti...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Sijali huna wowowo, sura nzuri wala shepu mi nimechoka na udomo zege njooni tule maisha maana wa makonde wanasema Life is too short to be a domo zege Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna siku nakumbuka nilikua na manzi wangu tunalamba mkopo wa sukari ghetto sasa wakati napiga zile in and out mara condom ikapasuka bila mimi kujua. Mimi nikawa naendelea tu kulamba mkopo wa...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Katika hali ambayo sio ya kawaida nimejikuta nakubwa na tukio la ajabu sana na limeniwekea historia kubwa sana katika mahusiano. Katika maandalizi ya kuiandaa papuchi ili iwe tayari kwa mgegedo...
7 Reactions
106 Replies
13K Views
Ukitaka kuona Ukabila upo Tanzania, tafuta mchumba wa kuoa au kuolewa naye, usikie vile wazazi wana comment. Sent using Jamii Forums mobile app
5 Reactions
60 Replies
8K Views
Jamaa yetu kitaa amevimba uso, hana hamu tena na mke kachapiwa. Ilikuwaje! ungana nami. Kwa muda jamaa aliskia kiwa kuna afande mmoja anamla mkewe. Jamaa kwa mwendo wa kobe akaanza kufuatilia...
10 Reactions
52 Replies
5K Views
Wakuu, Hii tuichukulie vipi? Siyo kwamba huyu mwanadada amejiweka standard ambayo siyo yake ndo maana hakuna anaeweza poteza muda na pesa yake kwake? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
60 Replies
12K Views
Mwisho wa siku Single mother nae ni mwanamke kama wanawake wengine, anayo kila sababu ya kuhitaji kupendwa, kuolewa, na kuwa na mwanaume ampendae. Yeye kuwa na mtoto hakumfanyi asivutie...
15 Reactions
234 Replies
13K Views
Kuna Binti...... [emoji23][emoji23] Tittle kali. Ila JF napapenda sana.. Mtu unaoa demu ana watoto watatu eti kisa umri wake mdogo aliye muambia azae haraka haraka nani [emoji23] Any way hii story...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Hi, Leo natoa intro-jinsi ya kupata mtoto na jinsia uipendayo na haswa mapacha; Kwa mapacha wa kike na kiume kwanza hakikisha mkeo yupo katika kipindi cha joto yaani yai lake lipo tayari...
3 Reactions
25 Replies
23K Views
ukiwa hanithi lazima uwe kilaza dalili za mwanzo za upungufu wa nguvu za kiume asa zinazotokana na puchu ni kusahau sahau Asa ukifika stage ya kuwa hanithi kabisa akili zako zinakuwa ndogo...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Kama kuusaka tu urais anazunguka hivi siku akiwa Rais atazunguka kila kona ya dunia. Hatutaki rais wa hivi maana ni hasara kwa taifa Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini Nimekuwa nikitafakari sana Kupitia Nyuzi mbali mbali zinazo wekwa Na wadau Mbalimbali humu! Watu wamekuwa wakilalamika sana Juu ya Matatizo/ Tabia mbaya Za Wapenzi wao na kuona kuachana...
3 Reactions
9 Replies
4K Views
Kuna ile, "namba yangu umeipata wapi au amekupa nani??" Tena anakukomalia. Hapo ukiyumba kidogo huna chako... Mfano wewe mdau, ungejibu vipi???
5 Reactions
90 Replies
6K Views
Habari za saa hz wakuu,moja kwa moja niende kwenye mada...kusema ule ukwel ndoa sio kitu cha mchezo mchezo kwa kwel,kwann nasema hv coz nimepractice hii kitu,kivipi?...jibu ni kuwa nina mademu...
11 Reactions
75 Replies
7K Views
Oke one plus one And baby can it be me and you Only you and I .only us under that roof.. My power girl is hot . Damn. There she is next to me So deep into me( in my sense yo) ..tatata play...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna bwana mmoja alioa mchumba wa kutokea shuleni. Walipendana sana, walifanikiwa kupata mtoto mmoja wa kike kabla maradhi kumfika yule mama na alifariki. Yule bwana aliachwa na binti wa miaka...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu nina rafiki yangu ni zaidi ya kaka kwangu. Cha ajabu ananiambia nisiende kwake akiwa yeye hayupo yani akibaki mke wake ina maana mimi siwezi enda pale nikapiga stori na mke wake? Sijui ana...
3 Reactions
71 Replies
7K Views
Naomba nifahamishwe Hapa hivi Ndoa ya Kiserikari ina nguvu kama ilivyo ndoa ya Kidini? Je ni vipi kama ukiikana ndoa hiyo mala tu baada ya wewe kutoka kuifunga? CC Zero IQ
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Does transparency mean you tell your spouse EVERYTHING? Wadau ni sahihi kuwa na uwazi kwa kila kitu katika mahusiano?
1 Reactions
46 Replies
3K Views
Back
Top Bottom