LIFE IT HAS GOT NO FORMULA(unaweza ukaoa ukiwa tajiri na ukawa masikin,unaweza kuoa ukiwa masikin na ukawa tajiri and vise versa is true)Unaweza kuoa baada ya kufanikiwa na huyo uliemuoa akakufanya masikini daima.
Cha muhimu ni kuwa maisha hayanaga formula kwamba fanya hivi itakua hivi japo miongozo ipo.
Naamini katika fate and self disposition
Kuoa ni kitu kingine na kufanikiwa kimaisha ni kitu kingine, ikiwa umefika muda wa kuoa na huwezi kujizuia na matamanio na nafsi yako bora uoe, halafu mchakarike na mkeo katika kujikwamua kiuchumi, kama si hivyo utakuwa maskini mkubwa kwa kuendekeza zinaa na kwa kuhonga.Malumbano ya hoja;; je, kuoa kabla hujafanikiwa ki maisha je, hii huchangia kua maskini, Daima? Tililika mtanzania
Hapo ulipo malizia hakuna mwanamke wa hivyo labda jini.Mimi sio mtabiri, ila amin nakuambia ""MAAMUZI YAKO YAJANA ,NDIO YAMEKUFANYA UWE HAPO ULIPO SASA HIVI""".
Ukiona , Unaogopa kuoa sababu unaona hujayapatia maisha, Basi ujue Jana yako ulifanya uzembe wa kuyatafuta hayo maisha.
Hata ivo , Mwanamke ni msaidizi , na neno msaidizi ukilitizama ktk Muktadha wa maisha kwa ujumla wake, utagundua kua "Ukipata mke mwema, aina ya unaumwa kichwa kisha anakuambia " Baby jitahidi meza DAWA HIZI alafu uende kazin, kama hali itakua mbaya nijulishe nije twende hosptal" ......... Huyu Utatusua naye Laifu hata km ndo unaanza maisha.
Lkn ukikutana nahawa wa ""Baby sasa kichwa kinauma ,uende kazin? Hujionei huruma? Embu baki nyumban ,nikutengezee chai, kisha tutombanee wee mpaka jioni""..Bro , Wewe na umasikin mtakua marafiki.
Nimecheka jamani, yaani mtu asiwe na nguvu za kufanya kazi ila za kut**na anazo? Inawezekana vipiHapo ulipo malizia hakuna mwanamke wa hivyo labda jini.
Watu wanaongea tu, ukute hajawahi kukutana na wa hivyo Ila basi tu kaamua kuwaza yake ili mwanamke aonekane katili siku zote.Nimecheka jamani, yaani mtu asiwe na nguvu za kufanya kazi ila za kut**na anazo? Inawezekana vipi
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaMimi sio mtabiri, ila amin nakuambia ""MAAMUZI YAKO YAJANA ,NDIO YAMEKUFANYA UWE HAPO ULIPO SASA HIVI""".
Ukiona , Unaogopa kuoa sababu unaona hujayapatia maisha, Basi ujue Jana yako ulifanya uzembe wa kuyatafuta hayo maisha.
Hata ivo , Mwanamke ni msaidizi , na neno msaidizi ukilitizama ktk Muktadha wa maisha kwa ujumla wake, utagundua kua "Ukipata mke mwema, aina ya unaumwa kichwa kisha anakuambia " Baby jitahidi meza DAWA HIZI alafu uende kazin, kama hali itakua mbaya nijulishe nije twende hosptal" ......... Huyu Utatusua naye Laifu hata km ndo unaanza maisha.
Lkn ukikutana nahawa wa ""Baby sasa kichwa kinauma ,uende kazin? Hujionei huruma? Embu baki nyumban ,nikutengezee chai, kisha tutombanee wee mpaka jioni""..Bro , Wewe na umasikin mtakua marafiki.
Watu wanaongea tu, ukute hajawahi kukutana na wa hivyo Ila basi tu kaamua kuwaza yake ili mwanamke aonekane katili siku zote.
niko poa mbona?? Tunarekebishana tuCalm down mom.
Take it easy.
niko poa mbona?? Tunarekebishana tu