Hana michepuko ndio inazoKi Ukweli mi pia hazinivutii kabisa " sjui nmwambieje wife jinsi ya kuachananazo bila ya kujiskia vbaya " maana namuona amezchukua kwa fujo kweli
Post sent using JamiiForums mobile app
Mbona we chupi zisizo kuvutia umeziandikia Uzi?Ila zinakuvutia kuchangia some pipo bana
Post sent using JamiiForums mobile app
sasa chupi inayovalishwa kwenye gunia, we unataka ikuvutie ili iweje? smhHapana kwenye gunia
Post sent using JamiiForums mobile app