Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 28 natafuta mpenzi alie siliasi katika mahusiano ili baadae tukijilizisha wote wawili tufunge ndoa nipo atakae...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Kila tarehe 14 Feb, watu husherekea siku ya wapendao ambayo inajulikana kwa jina la Valentine's Day. Watu hupeana zawadi tofauti tofauti ikiwemo maua, kwenda sehemu za mapimziko na mambo kadha...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu naomba kujua ukweli juu ya siku hii maana kuna mkanganyo wengi wahusisha siku hii na ushirikina wengine wakiihusisha na Upendo naomba kujua kwa wenye uelewa mpana. Najua wengi ni bendera...
0 Reactions
3 Replies
954 Views
Mi ni mwanamume wa miaka 26 nahitaji,mchumba wa miaka 18-24, awe mcha mungu,mkristo asiwe mchagaa,mzaramo,mnyamwezi,muhaya ila tofauti na hao nawapenda wote awe na mapenzi ya dhati,awe...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Wakuu habarini nimekuja kutolea machungu yangu hapa. Hivi inakuaje mwanaume mnaandaana vizuri kabisa kwajili ya mgegedo halafu anaghairi na ukiangalia nina minyegezi zimejaa? Yaani, dah! Mtu...
13 Reactions
316 Replies
21K Views
💐💞💓💞💖💞💖💞?💝𷠽💐 𷠽𴰼󞐊 🌹 *THE VALENTINE DAY*🌹 ____________________________ Historia na asili ya siku hii ni *Mt Padre Valentino Shahidi wa dini* huko Italia. Mkuu wa dola ya kirumi alipiga marufuku...
3 Reactions
2 Replies
3K Views
Hapa naongelea akina dada ambao leo wataachwa solemba au watatoswa na wapenzi wao leo,au wanajiandaa na nguo zao nyekundu lakini jamaa hatokei ...Hilo haliepukiki...karibuni kwangu leo niko free.
0 Reactions
1 Replies
605 Views
Habari za siku wakuu, So, mke wangu alipata mafanikio fulani kazini. A decent breakthrough. Mimi kama ndugu mtazamaji, motivator na mshangiliaji wa maendeleo yake nikaona si mbaya nikafanya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mara ya mwisho nilikutana nawe mwaka 1994. Toka kipindi hicho mnato nimekutafuta katika mabara yote ya dunia hii, sikubahatika kakutana nawe. Mnato ulikua umebebwa na binti aitwae Victoria...
6 Reactions
142 Replies
10K Views
Wanajamvi... Huu uzi ni maalumu Sana kwa wale mashuhuda, waliowahi kuona mubashara watu wakigegedana... Lakini ilikua kisiri (kupiga chabo).. Mimi binafsi nimepiga chabo Mara nyingi lakini mwaka...
5 Reactions
24 Replies
9K Views
1. Atakuwa anakulisha vitu vichafu. 2.Atakuletea maradhi kwa sababu wengi wao huwa wanagongwa sana na waganga na waganga huwa wanawala wanawake dry. Kibaya zaidi mwanamke mshirikina huwa hawagi...
5 Reactions
45 Replies
13K Views
Habarini wadau! Naomba niende kwenye mada. Kuna wanaume hapa duniani ni laana kabisa unawezaje kumlala binti yako mdogo wa miaka kumi na NNE? Machangudoa wote hawa waliojazana Kimboka,Kona bar na...
10 Reactions
57 Replies
6K Views
Kwenye mahusiano kuna changamoto nyingi sana, na moja ya changamoto hizo ni mpenzi wako kukusaliti a.k.a ku-cheat... Kuna wengine wanaweza wasamehe au wasisamehe ila ndo watavunja mahusiano moja...
3 Reactions
31 Replies
4K Views
Watu wakubwa wananishauri nikitaka mke wa kuoa nitulie kwamba nikimuomba Mungu atamleta na kunionyesha kuwa huyu ndiye.sasa Mimi sijawahi kujua Kama namna Mungu anavyoongea na wanaume na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Heri ya mwaka mpya wakuu,napendekeza tuwe na teams hapa jamvini kati ya mabachelor na wasio kua mabachelor, hii ni katika kuboresha na kunogesha tu jukwaa,nadhani inaweza hata kusaidia wale wanao...
1 Reactions
218 Replies
11K Views
Wakuu tangu nijue MMU najilazimisha kuona kama humu pia kuna mabinti lkn wapi? Wengi miandiko yao kama wamama waliokomaa. Ukimfuatilia utakuta anajua mambo hadi ya siasa, mara Lissu mara 1.5 tril...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
" Jana Hawara yangu Mwarabu nimemvalia ' Condom ' kwakuwa simuamini Afya yake ila Jumamosi Mswahili Mwenzangu na Mke wangu wa Siku zote kwakuwa namuamini wala sitomvalia ' Condom ' na nitazitumia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nina mwanamke ambaye tumedumu nae kwenye mahusiano takribani miaka 5 nasasa tunamtoto mmoja na anamimba ingine nandio nimeanza kuishi nae hivi karibuni mwaka huu huu January. Sasa nimegundua...
1 Reactions
71 Replies
5K Views
Hii ndio tofauti ya mwanaume anaeoa na mwanaume anaeolewa na mke wake.
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Jaman. Hapa nimestaajabu kidogo. Mwanamke amenifuma nikiwa na mwanamke mwingine live. Na nilikua natoka Kum mbato gest. Daah. Cha ajabu tangu siku hiyo hakuniuliza chochote , na ameongeza...
4 Reactions
57 Replies
5K Views
Back
Top Bottom