Mada za mahusiano za huyu mtu anaedai kusingiziwa ukimwi na Daktari pamoja na mchungaji.

affimation

Member
Jan 25, 2019
48
104
Huyu mtu aliibuka na mada hapa na kuwatuhumu Daktari pamoja na mchungaji kumsingizia ukimwi, kumbe ni muongo na alishaoa.

Mada zinaonyesha ni mhuni na mtu wa kusingizia huyo anajiita MAGALLAH R

1) Leo nisipokufa basi sifi tena - JamiiForums

Alishawahi kuoa akasalitiwa na mke.


2)
Mrejesho wa mama Neema. Je, nichukue milioni tano au niache? - JamiiForums

Alileta mrejesho, sijui hizo M5 alizichukua au?

3)
Jesca kwanini hukuniambia kama una jinsia mbili? - JamiiForums

Vipi huyu mpenzi wajinsia mbili uliekutana nae hapa jf mmefikia wapi?

4)
Daaah nimetapika sana na sitaweza kusahau kamwe - JamiiForums

Vipi huyu demu uliezama chumvini na kutapika ni huyu wa kanisani au huyo wa jinsia mbili, au huyo mkeo aliekusaliti?

5)
Mama Maua haya ni mashetani kweli jamani - JamiiForums

Vipi na huyu mama maua ambae akinyonya dushe anazimia, mmeishia wapi au alishakufa kabisa!

6)
Ni wapi naweza kujifunza uchawi? - JamiiForums

Vipi umeshajifunza uchawi? huenda ni mchawi wa kifa mtu.

7)
Ungana na mimi kupinga matumizi mabaya ya mdomo - JamiiForums

Vipi umeshapunguza matumizi ya mdomo?

8)
Kateni mikucha yenu inawaumiza wenzuni - JamiiForums

Vipi mtaalam wa papuch.

9)
Popote ulipo wewe daktari, Mungu akulaani sana - JamiiForums

Hapa ndio ukaja na mada wa daktari kukusingizia ukimwi, na hizo mada zako nani atakuamini?

10)
Mchungaji wangu ni heri utubu kwani uliyonifanyia yatakupeleka motoni. - JamiiForums

Hapa umekuja na mada kwamba mchungaji ameungana na Daktari usingiziwe ukimi

Kwahizo mada zako kweli wewe kimeo, acha kudhalilisha Dini za watu na watumishi wa Mungu, na pia acha kudhalilisha taaluma za watu.
 
Back
Top Bottom