Kachepuka baada ya kujifungua

bulabo

JF-Expert Member
Aug 20, 2015
353
250
Kuna mshikaj kaniambia mke wake kajifungua ana nwezi tu lakini juzi kati alichepuka...anaomba kujua itaadhiri ukuaji wa mtoto au maana mchepuko wake unamsumbua

Sent using Jamii Forums mobile app
 

PENTAKINYE

JF-Expert Member
Jan 3, 2019
821
1,000
ili mkewake asijue kila akitoka kwa mchepuko kabla hajaoga awe anamuwahi mtoto anambeba anacheza nae kwanza baadae ndiyo anaenda kuoga hapo mkewe hatashtuka kama anamchepuko

za kuambiwa changanya na zako
 

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
16,022
2,000
Kabla ya mzigo hujaliwa

Yaan ninanyege ,siunajua toka mwanamke kabeba mimba mpaka amejifungua sijawah kula mzigo .


Nahitaj niwe naww nipo tayar niwe nakuhudumia kama mke wa pili maana sina namna,niko ovyo.


Baada ya kula mzigo.

Unajua bana mtoto mchanga. Naogopa kumuharibu. Alafu usiwe unanitafuta sana wife asije kujua, nitakua nakutafuta mimi mwenyewe.

Hatima yake...

Ndugu nmechanganyikiwa sana, naomben mawaxo yenu, nmechepuka. Uku mwanangu nimchanga. Na mchepuko unasumbua sanaaa..... Mawazo yenu namna yakutoka hapa
 

kedekede

JF-Expert Member
Aug 21, 2016
3,982
2,000
Naomba nipewe jibu la ki science kuhusu uhusiano wa kutyomba nje na kumuathiri mtoto kiafya!
 

kedekede

JF-Expert Member
Aug 21, 2016
3,982
2,000
hii itakuwa wireless effect

Sent using Jamii Forums mobile app
wanawake ndio wameleta hii theory kwa hofu ya kutelekezwa na watoto maana huduma kwa muda huwa zinasita za papuchi kwa mwanamke aliyejifungua,sasa huwa anajua utatoymba nje tu,wakaleta theory ya kwamba ukitomba nje utamuharibu mtoto ili tuogope!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom