Kama mada inavyojieleza
Kuna hii tabia ya baadhi ya wadada unapowapa appointment ya kuja nyumbani kwako chumbani kabisa wanajivesha pedi na kudanganya wana bleed
Hii tabia wanaifanya ili...
Huyu dada ni karibia mwaka...ananisumbua sana kila nikitaka kumla anapiga chenga... Mara aseme anaogopa hajazoea mara aseme yupo siku mbaya mara ....yaani shida tu.
Nlimwona siku ya kwanza kituo...
Naona hata bar za jirani nilizozoea kuona watu wanaanzia kunywa asubui leo hawapo kabisa.
Nadhani wanawake tumeweza kuwabana waume zetu leo watawahi kurudi. Au isije kuwa Valentine yao itakua...
MWANAMKE KAMA UNAHITAJI HOGO FANYA YAFUATAYO ILI KUMUINGIZA MUMEO MTEGONI
💞💞 💋💋
Siku hiyo mwanamke anza kwa vimeseji vya kimitego umtumie mumeo huko alipo...
Wewe na mkeo mnaishi miji tofauti. Ukapata likizo kazini ukaamua kwenda mji anaoishi mkeo. Siku moja asubuhi mkeo baada ya kujiandaa na kutoka nje kwenda kazini ukaskia anamuomba mwanaume lifti...
Wakuu salaam
R.I.P Godzilla
Daaaah sometimes mwenzenu nakaa nawaza sana ,yaani umaskini ni mbaya sana kwa kweli
Mi ni baba wa watoto wawili,mmoja wa kike mkubwa na mwingine wa kiume miezi...
Helo wakuu
Mpo?
Basi bwana tukielekea siku ya wapendanao kesho ngojeni niwape story yangu flani
Mimi ni mtu wa bush sana nimezaliwa Na kukulia village.
Sasa hapo kijijini kwetu bna kipindi hicho...
Wadada ambao huwa tunawatumia Nauli Mikoani To Dar na mnakuja kweli nyie mbinguni mna sehemu yenu maalumu V.I.P yenye WiFi free internet na mirinda nyeusi mtakunywa......[emoji91] [emoji91]...
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 28 natafuta mpenzi alie siliasi katika mahusiano ili baadae tukijilizisha wote wawili tufunge ndoa nipo atakae...
Kila tarehe 14 Feb, watu husherekea siku ya wapendao ambayo inajulikana kwa jina la Valentine's Day. Watu hupeana zawadi tofauti tofauti ikiwemo maua, kwenda sehemu za mapimziko na mambo kadha...
Wakuu naomba kujua ukweli juu ya siku hii maana kuna mkanganyo wengi wahusisha siku hii na ushirikina wengine wakiihusisha na Upendo naomba kujua kwa wenye uelewa mpana. Najua wengi ni bendera...
Mi ni mwanamume wa miaka 26 nahitaji,mchumba wa miaka 18-24, awe mcha mungu,mkristo asiwe mchagaa,mzaramo,mnyamwezi,muhaya ila tofauti na hao nawapenda wote awe na mapenzi ya dhati,awe...
💐💞💓💞💖💞💖💞?💝💐
🌹 *THE VALENTINE DAY*🌹
____________________________
Historia na asili ya siku hii ni *Mt Padre Valentino Shahidi wa dini* huko Italia.
Mkuu wa dola ya kirumi alipiga marufuku...
Hapa naongelea akina dada ambao leo wataachwa solemba au watatoswa na wapenzi wao leo,au wanajiandaa na nguo zao nyekundu lakini jamaa hatokei ...Hilo haliepukiki...karibuni kwangu leo niko free.
Habari za siku wakuu,
So, mke wangu alipata mafanikio fulani kazini. A decent breakthrough. Mimi kama ndugu mtazamaji, motivator na mshangiliaji wa maendeleo yake nikaona si mbaya nikafanya...
Mara ya mwisho nilikutana nawe mwaka 1994. Toka kipindi hicho mnato nimekutafuta katika mabara yote ya dunia hii, sikubahatika kakutana nawe. Mnato ulikua umebebwa na binti aitwae Victoria...
Wanajamvi...
Huu uzi ni maalumu Sana kwa wale mashuhuda, waliowahi kuona mubashara watu wakigegedana...
Lakini ilikua kisiri (kupiga chabo)..
Mimi binafsi nimepiga chabo Mara nyingi lakini mwaka...
1. Atakuwa anakulisha vitu vichafu.
2.Atakuletea maradhi kwa sababu wengi wao huwa wanagongwa sana na waganga na waganga huwa wanawala wanawake dry. Kibaya zaidi mwanamke mshirikina huwa hawagi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.