blogspot
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,269
- 1,148
Nimeanini kumbe Mapenzi yana nguvu ya ajabu sana "Mapenzi yana uchawi ndani yake"
Baada ya kuwa na Mpenzi mmoja kwa muda mrefu alikua ana nyodo sana akiamini ameniteka mateka na ananipelekesha anavyotaka.
kumbe mambo hayako kama anavyozani. Nikaona nijaribu kuongeza mchepuko wa pili kimya kimya bila yeye kujua. Siwafichi Amekua mpole sana kama kamwagiwa maji alafu ananisikiliza vibaya mno. Kila siku ananiambia nimemwendea kwa mganga La hasha! Kumbe wala hata.
😡wanaume wote ambao wanawake wanawatesa. Ongezeni wanawake hapo ndio dawa yao.