Unamtafuta nani? Tueleze tukusaidie!!!

Unamtafuta nani? Tueleze tukusaidie!!!

Samahani

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
237
Reaction score
355
Wanajukwaa...

Nimefikiri kuanzisha uzi huu ili uwe uwanja wa kuwapata wale tunaowatafuta kwa muda mrefu tena kwa bidii kubwa bila mafanikio. Ninaamini kuwa dunia ni kijiji kwasasa hasa kwa kuwepo kwa utandawazi na teknonojia. Huenda unayemtafuta wewe mimi najua alipo au walau nina habari zake. HEBU TUAMBIE HAPA, UNAMTAFUTA NDUGU, JAMAA, RAFIKI GANI KWAKO BILA MAFANIKIO??

Karibuni sana tuanze kushirikiana kuwapata wale tunaowapenda ingawa tumewatafuta bila mafanikio....

MUHIMU:

Wakati wa kuandika jina la mtu unayemtafuta, ni vema pia ukaweka walau maelezo ya kutosha yale uwezayo kuwa nayo ili iwe rahisi zaidi kumtambua mtu huyo. Mathalani, majina yake, historia yake fupi, mara ya mwisho mlikuwa naye wapi, alisoma au kufanya kazi na kuishi wapi na mengine kama hayo..

TAFADHALI ADMIN NISAIDIENI KUUSTICK UZI HUU ILI USIPOTEE...

KARIBUNI SANA..
 
NAMTAFUTA MJAMA ANAITWA
BENARD JAMES MWANAWILE
ALIKUWA ANAISHI KIMARA MIAKA YA 1995+

KAMA YUPO AU NITAMPATA AJE INBOX CHAPU,
KUNA DAMU YAKE INA MTAFUTA
 
Nikajua uzi maalumu wa kuwatafuta ma ex girlfriends na boyfriend's waliopoteana.

Maana ningeanza kwa kusema namtafuta mtoto mercy mbulu, ambae tulikutana makongo secondari... Popote alipo anitafute.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namtafuta rafki yangu February..simsikii wala simuoni..atakae muona labda hata kwenye usafi wa mazingira anijulishe wakuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom